Wednesday, December 31, 2014

PUMZIKA KWA AMANI SARAH E. KYOMO, MFANYAKAZI WA BANK YA POSTA MKOA WA LINDI AUMWA KICHWA AKIWA MAPUMZIKO YA SIKUKU NA KUFARIKI DUNIA KATIKA HOSP YA IFISI MBEYA NA KUZIKWA LEO MJINI TUKUYU WILAYANI RUNGWE

SARAH E. KYOMO ENZI ZA UHAI WAKE AKIWA NA MWANE KISSA WAJUJIANDAA NA SAFARI YA KWENDA TUKUYU KWA MAPUMZIKO YA SIKUKU YA CHRISTIMAS AMBAPO AMEUGUA KICHWA KWA MFUPI SANA NA KUPELEKEA KUFUKWA NA UMAUTI .  SARAH KYOMO ALIKUWA NI MFANYAKAZI WA TANZANIA POSTA BANK MKOA WA LINDI( TPB). BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA NA LIHIMIDIWE. AMEN

MAREHEMU SARAH  KYOMO AKIWA NA MWANAE KISSA WAKIFURAHI.         BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA NA LIHIMIDIWE. AMEN

Post a Comment