|
WAFANYABIASHARA WA MABASI AINA YA COSTA ZINAZOFANYA KAZI YA KUSAFIRISHA ABILIA KUTOKA TUKUYU KWENDA KYELA NA MBEYA MJINI WAMESITISHA KUTOA HUDUMA YA USAFIRI TANGU ASUBUHI YA LEO KWA MADAI YA KUONEWA KWA WENZAO WATATUKUKAMATWA NA ASKALI POLISI WA USALAMA WA BALABALANI ASUBUHI YA LEO KWA KUKIUKA SHERIA YA SUMATRA YA KUWAHI KUFIKA MBEYA MJINI KINYUME CHA UTARATIBU ULIOWEKWA CHOMBO HUSIKA |
|
NAULI KWA SAFARI YA KWENDA MBEYA MJINI KUTOKA TUKUYU NI TSH 3000/= LAKINI KUTOKANA NA TATIZO HILI NAULI ZIMEPANDA HADI TSH 5000/= KWA USAFIRI WA GALI NDOGO NA KWA MAGALI MKUBWA NI TSH 4000/= |
|
BAADHI YA WASAFIRI WAKIWA KATIKA STENDI YA TUKUYU MJINI WAKIWA HAWANA LA KUFANYA BAADA YA USAFIRI WA KWENDA KYELA NA TUKUYU KUSITISHWA NA MADEREVA KUGOMA BAADA YA WENZAO WATATU KUKAMATWA KWA KUKIUKA RATIBA YA USAFIRI KUANZA SAFARI KUTOKA TUKUYU KWENDA MBEYA |
|
SAFARI IMEANZA KUELEKEA MBEYA MJINI KUTOKA TUKUYU |
|
MOJA YA STENDI ZA MJINI TUKUYU IPO KATIKA HARI MBAYA NA WAHUSIKA WAPO WANAONA BILA YA KUFANYA UKARABATI JAPO KILA SIKU WANACHUKUA USHURU WA TSH 500/= KWA GALI DOGO NA KWA MAGALI KUBWA NI THS 1000/= |
|
MWANDISHI WA HABARI TUMAIN OBEL AKIONGEA NA MMOJA WA MADEREVA KATIKA STAND YA TUKUYU MJINI |
TAARIFA KAMILI ITAENDELEA KUWAJIA HAPA KWA KUWA KIKAO CHA USURUHISHI KINAENDELEA KATIKA OFISI ZA POLISI MKOA WA MBEYA ILI KUREJESHA HUDUMA ZA USAFIRI KAMA KAWAIDA
KINGOTANZANIA
No comments:
Post a Comment