Tuesday, January 6, 2015

MWANDOSYA AKAGUA MIRADI YA UJENZI BUSOKELO, RUNGWE MASHARIKI, MKOANI MBEYAWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi maalumu) Profesa Mark Mwandosya (wa tano kulia)  akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Ntaba, Bi. Rebecca Hyera (wa nne kulia) kuhusu sehemu ya Mradi wa Umwagiliaji maji wa Katela - Ntaba ambapo limejengwa ghala la mazao ya mpunga na kakao.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya akipita kwenye kivusha maji cha Mradi wa umwagiliaji Katela - Ntaba wakati akikagua  Miradi ya Ujenzi Busokelo,Rungwe Mashariki, mkoani Mbeya
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya akipata maelezo ya Banio la mradi wa umwagiliaji wa Katela-Ntaba.wakati akikagua  Miradi ya Ujenzi Busokelo,Rungwe Mashariki, mkoani Mbeya
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya katika picha ya pamoja na watendaji,viongozi na wananchi baada ya kukagua ghala ya mazao ya Mradi wa umwagiliaji wa Kasyabone-Kisegese.
Post a Comment