Tuesday, February 24, 2015

HOSPITAL YA MISSION YA IGOGWE TUKUYU WILAYANI RUNGWE YAWATELEKEZA WAGOJWA KUMI NA NNE WA AJALI YA MOTO SIKU NNE BILA YA MATIBABU NA KUPELEKEA MMOJA WAO KUFARIKI DUNIA. WANANCHI WACHANGISHANA PESA NA KUWAHAMISHA WOTE NA KUANZA MATIBABU HOSPITAL YA WILAYA YA TUKUYU MAKANDANA

HAPA NDIPO HOSPITAL YA MISSION IGONGWE AMBAPO WAGONJWA WAPATAO KUMI NA NNE WALIFIKISHWA KWAAJILI YA KUPATA MATIBABU LAKINI WANANCHI WA KIJIJI CHA ISONGOLE KWA PAMOJA WALIPOONA NDUGU ZAO WAMETELEKEZWA KWA KUTOPATA MATIBABU YA KURIDHISHA NA KUPEREKEA KIFO CHA MGONJWA MMOJA NA KUFIKIA WATU WANNE WALIOKUFA KATIKA AJALI,  NDIPO WANANCHI WAMEAMUA KUCHANGISHANA PESA NA KUWAHAMISHA WAGONJWA WOTE NA KUWAPELEKA KATIKA HOSPITAL YA WILAYA YA RUNGWE AMBAPO WAGONJWA WOTE WAMEANZA MATIBABU

MMOJA WA WAGONJWA WALIOTELEKEZWA KUTOPATA HUDUMA KATIKA HOSPITAL YA IGOGWE. KINGOTANZANIA ILIPOFIKA KATIKA HOSPITAL YA TUKUYU WILAYANI RUNGWE IMESHUHUDIA HARI MBAYA ZA WAGONJWA KUMI NA TATU WALIOHAMISHWA NA WANANANCHI KUTOKA HOSPITAL YA IGOGWE KWA KUWA WAGONJWA HAO TANGU WALIPOFIKISHWA HOSPITAL WAMEKOSA HUDUMA ZA MSINGI INGAWA NDUGU WA WAGONJWA WOTE WALICHANGISHWA PESA KWA AJILI YA KUNUNUA DAWA LAKIN WAGONJWA WAMELALAMIKA KUKOSA HUDUMA ILIYOPELEKEA MWENZAO MMOJA KUFARIKI NDUNIA AKIWA HOSPITALIN HAPO

MMOJA WA MAJERUHI WA MOTO AKIWA KATIKA HOSPITAL YA IGOGWE KABLA YA KUHAMOSHIWA KWENDA KATIKA HOSPITAL YA WILAYA YA RUNGWE

HAPA NDIPO AJALI YA MOTO ILIPOTOKE KATIKA KIJIJI CHA ISONGOLE WILAYANI RUNGWE AMBAPO WATU WALIFARIKI DUNIA HAPOHAPO HUKU MAJERUHI WA NNE AKIFIA HOSPITALINI IGOGWE KWA KUKOSA HUDUMA ZA MSINGI

WANANCHI WA KIJIJI CHA ISONGOLE KWA PAMOJA WAKIONGOZWA NA MWENYEKITI NA DIWANI WAO WALIPOONA NDUGU ZAO WAMETELEKEZWA KWA KUTOPATA MATIBABU YA KURIDHISHA NA KUPEREKEA KIFO CHA MGONJWA MMOJA NDIPO WANANCHI WAMEAMUA KUCHANGISHANA PESA NA KUWAHAMISHA WAGONJWA WOTE NA KUWAPELEKA KATIKA HOSPITAL YA WILAYA YA RUNGWE AMBAPO WAGONJWA WOTE WAMEANZA MATIBABU
FUATANA NA KINGOTANZANIA KUJUA UNDANI WA TUKIO HILI LA KUSIKITISHA PAMOJA NA MAHOJIANO ZAIDI

KINGOTANZANIA

No comments: