Sunday, February 15, 2015

PICHA; Yanga ilivyoitandika BDF XI FC ya Botswana 2-0 uwanja wa taifa

MMGL0011 
Mchezaji wa timu ya Yanga akiwania mpira katikati ya wachezaji wa timu ya BDF XI FC ya Botswana wakati wa mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na Yanga kuibuka na ushindi wa magoli 2-0 yaliyofungwa na mchezaji Hamisi Tambwe katika dakika ya kwanza ya mchezo na dakika ya 55 , timu hizo zitarudiana baada ya wiki mbili nchini Botswana. MMGL0016 
Mchrezaji Kevin Yondani wa Yanga akiwania mpira na chezaji wa BDF XI FC ya Botswana wakati wa mchezo huo.  MMGL0048 
Baadhi ya mashabiki wa Yanga wakiwa katika mchezo huo. MMGL0060 
Mrisho Ngasa akiwania mpira katika mchezo huo. MMGL0098 MMGL0102 
Mchezaji Mbuyi Twite akirusha mpira   MMGL0160MMGL0118 
Shabiki wa Yanga Babu Ali Tumbo akifanya vitu vyake wakati timu yake ya Yanga ikicheza.
Post a Comment