Thursday, February 5, 2015

PINDA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA DINI

Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa viongozi wa dini wa mashauriano uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha  Kimataifa cha  Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es slaam p5 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika kikao cha  mashauriano cha viongozi wa dini kilichofanyika kwenye Kituo cha  Mikutano cha Kimataifafa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 3, 2015. Kulia ni ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam ,Alhad Salum Musa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)p4 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika kikao cha viongozi wa dini cha mashauriano kilichofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha  Julius Nyerere jijini Dar es salaam
 p1 p6 
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa viongozi wa dini wa mashauriano uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha  Kimataifa cha  Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es slaam  p7 
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa viongozi wa dini wa mashauriano uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha  Kimataifa cha  Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es slaam Februari 3, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri mkuu) p10 
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa viongozi wa dini wa mashauriano uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha  Kimataifa cha  Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es slaam  p11 
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa viongozi wa dini wa mashauriano uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha  Kimataifa cha  Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es slaam  p13 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimsikiliza Waziri wa Katiba na Sheria, Dr. Asha Rose Migiro katika mkutano wa mashauriano wa viongozi wa dini  uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere mjini Dar es salaam p14 
Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na baadhi ya viongozi wa  dini baada ya kuzungumza katika mkutano wao wa  mashauriano uliofanyika kwenye  kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere  jijini Dar es sala
Post a Comment