Wednesday, February 4, 2015

RAIS WA UJERUMANI ATEMBELEA KANISA KUU LA KKKT AZANIA FRONT JIJINI DAR ES SALAAM

 Muonekano wa Kanisa la Azania Front
 Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa (kulia), akimkaribisha Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck alipofika kutembela kanisa hilo Dar es Salaam leo jioni.
 Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck akisalimiana na Mama Anna Mkapa baada ya kuwasili kanisani hapo.
 Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck (katikati), akisaini baada ya kufika kanisani hapo.
 Wanakwaya wakitumbuiza.

 Askofu Malasusa na Rais wa Ujerumani, Gauck wakiteta jambo.
Rais Gauck akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa kanisa hilo pamoja na waumini.
Post a Comment