Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimiana na Chief wa Wahehe , Adam Abdu Sapi Mkwakwa wakati
alipokwenda nyumbani kwa Chief huyo, Kalenga Iringa Februari 20, 2015
baba yake Chief huyo, Marehemu Abdu Adam Sapi Mkwawa uliotokea hivi
karibuni.
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akishiriki katika dua mbele ya kaburi la marehemu Abdu Adam Sapi
Mkwawa wakati alipokwenda nyumbani kwa Chief huyo, Kalenga Iringa
kuhani.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizunbgumza na viongozi wa wilaya ya Kilolo baada ya kusomewa taarifa
ya wilaya hiyo Februari 21, 2015. Kushoto ni Mkuu wa koa wa Iringa,
Amina Masenza.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na
mkewe Tunu wakisalimiana na walimu wa sekondari ya Ilula kabla ya
kukagua ujenzi wa maabara katika shule hiyo akiwa katika ziara ya mkoa
wa Iringa.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akikagua moja ya madara ambayo yamegeuzwa kuwa maabara katika Shule ya
Sekondari ya Ilula akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februari 21,
2015. Kitendo hicho hakikumfurahisha na aliagiza kisirudiwe tena sehemu
nyingine ngo mapya yajengwe kwa ajili ya maabara
Mke wa Waziri Mkiuu, Mama Tunu
Pinda akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Ilulawilayani
Kilolo ambako Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alikagua ujernzi wa maabara na
kuhutubia wananchi.
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua banio
katika mradi wa umwagiliaji maji wa kijiji cha Nyanzwawilayani Kilolo
akiwa katika ziara ya mkoa wa Iringa Februari 21, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na
mkewe Tunu wakikagua shmba la vitunguu la Bw. Furaha Ngalali (kulia)
wakati walipotembelea mradi wa umwagiliaji wa kijiji cha Nyanzwa
wilayani Kilolo Februari 21, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akisalimiana na Meneja Mipango wa Kamouni ya Mawasiliano ya simu ya
VIETTEL TANZANIA LIMITED tawi la Iringa, Salvatory Elikidus katika
mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkiuu, Mizengo Pinda katika
kijiji Nyanzwa wilayani Kilolo Februari 21, 20154. Kulia ni Mkurugenzi
wa Kampuni hiyo Tawi la Iringa, Tran Nhat Duy na wapili kushoto ni
Mkuu wa Idara ya Fedha, Vo Ngoc Thang.
No comments:
Post a Comment