Sunday, March 22, 2015

KINANA: MIMI NI KIPAZA SAUTI CHA WANYONGE NA MASIKINI, ANG’OA VIGOGO WA CHADEMA ARUSHA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi jijini Arusha kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi mkoani humo baada ya kuzunguka majimbo yote ya mkoa huo na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM inayotekelezwa na serikali huku akihimiza uhai wa chama hicho, Amewapongeza wananchi kwa kujitokeza kwa wingi katika mkutano huo na kuwashukuru.
Naye Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano huo amesema vijana watanzania waliomasikini wakatae viongozi wanaotaka uongozi kwa kutoa rushwa kwani wakikubali kununuliwa hawataweza kuzuia, viongozi hao wakitaka kurithisha watoto wao kwa rushwa, lakini pia vijana hao hawatakuwa na nafasi tena ya kuomba uongozi wowote.
2 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo wakati akiwahutubia wananchi wa jiji la Arusha kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid. 3 
Naye Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano  4 
Naye Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akisisitiza jambo wakati wahutubia wananchi katika mkutano huo 5 
Kiongozi huyo akisaula magwanda yake jukwaani pamoja na wafuasi wengine wa chama hicho, kulia aliyeshika bendera ni katibu wa CCM mkoa wa Arusha Bw. Feruzi Bano alieshika bendera za CHADEMA na vifaa vingine vilivyorudishwa na wana CCM hao wapya 9 
Nape Nnauye akiangalia moja ya suluali baada ya Bw Prosper Mfinanga kuivua jukwaani kwenye mkutano wa hadhara jijini Arusha. 10 
Wananchi wakiwa wamefurika kwenye mkutano huoBaadhi ya w 11 
Mmoja wa makada wa CCM Bi. Viola akimvisha skafu Bw. Prosper Mfinanga baada ya kutangaza kujiunga na CCM 12 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Monduli Bw. Amani Ole Silanga akionyesho moja ya fulana ya CHADEMA aliyokuwa anaitumia wakati akiwahutubia wananchi kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha . 13 
Baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano huo huku wakiwa wameshika vichwa vyao kutokana na kuguswa na hotuba ya Bw. Amani Ole Silanga. 16 17 
Bw. Amani Ole Silanga akisisitiza jambo katika mkutano huo. 18 
Post a Comment