Thursday, March 12, 2015

TUKIO KATIKA PICHA NA TAARIFA YA AWALI KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA IRINGA KUTOKANA NA AJALI YA BASI LA ABIRIA NA LORI ILIYOTOKEA IRINGA

HAWA NI BAADHI YA WASOMI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAM WALIFARIKI KATIKA AJALI YA BASI LA MAJINJA
 Taarifa hizo zinaeleza kuwa kwenye mizigo mingi ya abiria waliokuwa kwenye basi hilo kumepatikana madaftari mengi ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam hivyo jeshi hilo linaendelea kufanya mawasoliano ma wamiliki wa gari hilo ili kujua kama lilikuwa limekodishwa kubeba wanafunzi wa chuo hicho ama ni mchanganyiko wa kawaida wa abiria.

Hivi ndivyo Basi la Majanja linavyo onekana mara baada ya kuondoa Lori lilikuwa limekandamiza basi hilo.
 
 Umati wa watu mbalimbali wakiwemo wasafiri wasafiri waliokuwa katika mabasi mengine wakiwa wamejaa kushuhudia Ajali hiyo.
Shughuli za uokoaji zikiwa zinaendelea

Muonekano wa Basi la Abiria na Lori yaliyo athirika kwa ajali hiyo

Mashuhuda
Basi la Abiria likiwa katika Hali mbaya baada ya ajali
Waokoaji wakiwa wanaendelea kufanya ushirikiano namna ya kuwasaidia watu waliopata ajali hiyo.
Miongoni mwa watu wakiwa wanatazama namna Magari hayo yalivyopata ajali 
Askari wa usalama Barabarani wakiwa wanahakikisha watu mbalimbali waliodhurika katika ajali hiyo wanaweza  kupata msaada/huduma kwa haraka.


 Basi lililokuwa limebeba abiria waliokuwa wakitokea Mbeya kuelekea Dar es salaam  Lenye namba za usajili T438 CDE likiwa katika hali mbaya. 

Post a Comment