Thursday, March 12, 2015

KIFO; FAMILIA YA HAMADI LAUSI WA TUKUYU INAWATANGAZIA KIFO CHA DIWANI VITI MAALUM (CCM) HAWA RAJABU WA BAGAMOYO TUKUYU

DIWANI HAWA RAJABU AKIWA MAKINI KATIKA MOJA YA  KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA RUNGWE

KIKAO CHA MWISHO KUSHIRIKI DIWANI HAWA RAJABU

KATI YA AKIA MAMA WASHUPAVU WA KUTETEA HAKI ZA WANYONGE WATOTO NA AKINA MAMA BASI ALIKUWA NI MHESHMIWA DIWANI HAWA RAJABU ALIKUWA MUUMINI A KUTETEA HAKI ZA WANYONGE N
KINGOTANZANIA INAWAPA POLE WATOTO, NDUGU NA JAMAA WOTE ALIOGUSA NA KIFO CHA DIANI WA VITI MAALUM CCM KATA YA BAGAMOYO  HAWA RAJABU. PUMZIKA KWA AMANI MAMA YETU
Post a Comment