Monday, April 20, 2015

TANZANIA INAUNGA MKONO TAMKO LA MWENYEKITI WA AU NA SADC MZEE ROBERT MUGABE KUHUSU MACHAFUKO YA AFRIKA KUSINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernald Membe akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa JNICC jijini Dar es salaam, Wakati alipotoa tamko la serikali ya Tanzania kuhusu machafuko yaliyotokea wiki iliyopita nchini Afrika Kusini kwa wenyeji wa nchi hiyo kufanya mashabulizi dhidi ya wageni kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika wanaoishi nchini humo.
Wapiga picha kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakichukua picha na taarifa muhimu wakati Waziri huyo akizungumuza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa JNICC jijini Dar es salaam asubuhi hii. 3 
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini wakati Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikini wa Kimataifa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam. 4 
Balozi  wa Tanzania Umoja wa Mataifa Mh ModestJ Mero pamoja na viongozi wengine kutoka wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakifuatilia mkutano huo. 5 
Baadhi ya wanahabari wakiwajibika. 6 
Post a Comment