Thursday, June 18, 2015

HATIMAYE WANAHARAKATI WATATU WAANZA SAFARI KWA BAISKERI KUTOKA MBEYA KWENDA DAR,MKUU WA MKOA AAGANA NAO.

 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abass Kandoro akiagana Rasmi na Wanaharakati hao wanne ambao wameamua kutoka Mbeya kwenda Dar kwa Baiskeri
 Wakiwa na Baiskeri zao
 Hizi zitafika Dar hizi
 Baiskeri zikiwa na Bendera ya Taifa
 Hawa ndio vijana wanaharakati ambao wameanza safari kutoka Mbeya kwenda Dar Tarehe 15.06.2015 kutoka kushoto ni Wise Man Tanzania, Afisa utamaduni wa Mkoa Bw. Mpogole, John Mwaipaya na Alex Mahenge.
Post a Comment