Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akizindua mpango wa mawasiliano kuhusu athari za magonjwa
mbalimbali hatarishi kupitia simu ya mkononi akiwa na Waziri wa Afya na
Ustawi wa Jamii Dkt Seif Selemani Rashid na Mkurugenzi Mkuu wa
Tanzania Youth Alliance (TAYOA) Bw. Peter Masika kwenye Maadhimisho ya
Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Dunia, katika Viwanja
vya Taasisi ya sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) mjini Bagamoyo leo
Juni 26, 2015
PICHA NA IKULU
Wasanii wanafunzi wa Mwaka wa tatu
wakichezaa igizo la athari za madawa ya kulevya mbele ya Rais Kikwete
wakati wa Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya
Dunia yaliyofanyika katika Viwanja vya Taasisi ya sanaa na Utamaduni
Bagamoyo (TaSUBA) mjini Bagamoyo leo Juni 26, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipena
mikono na timu za michezo zilizoshinda michezo ya waathirika wa madawa
ya kulevya walio katika matibabu kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku
ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Dunia ni katika Viwanja vya Taasisi ya
sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) mjini Bagamoyo.
No comments:
Post a Comment