Friday, August 28, 2015

DR. JOHN POMBE MAGUFULI: UKINUNUA MADARAKA IPO SIKU UTAWAUZA ULIOWANUNUA


????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mji Mbalizi  mkoa mpya wa  Songwe leo katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika kwenye stendi ya Mbalizi na kuhudhuriwa maelfu ya wananchi, Dr. John Pombe Magufuli amewaomba wananchi wa Mbalizi kummpa kura za ndiyo ili aweze kuongoza watanzania na kutatua matatizo mbalimbali yanayoikabili jamii ya watanzania wa hali ya chini.
Amesema ametumikia nchi hii kwa miaka 20 serikalini akiwa Waziri na amekuwa mkweli na muwazi ndiyo maana ameweza kuisimamia vizuri kila wizara au jukumu alilopewa na wakubwa wake akiwatumikia watanzania na sasa anaomba nafasi ya urais ili aweze kutekeleza vyema jukumu lake la kuwatumikia watanzania .
Ameongeza kuwa ndiyo maana katika mchakato mzima wa kugombea urais ndani ya Chama cha Mapinduzi  alifanya kimya kimya na hakutumia fedha yoyote hivyo hakuna mtanzania yeyote anayemdai fedha ila anadaiwa utumishi uliotukuka wenye uaminifu, kujituma na kutetea maslahi ya watanzania na taifa kwa ujumla katika  taifa la Tanzania, Ameongeza kwamba ukitumia fedha kuingia madarakani na kununua madaraka ipo siku utawauza uliowanunua.(PICHA NA JOHN BUKUKU- FULLSHANGWE-CHUNYA)
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa ubunge katika jimbo la Mbeya vijijini Bw. Olase Njeza.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika stendi ya mabasi Mbalizi.
????????????????????????????????????
????????????????????????????????????
????????????????????????????????????
Wananchi wakipunga mikono yao wakati Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia katika mji wa Mbalizi.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi akiwa njiani kuelekea mkwajuni.
????????????????????????????????????
????????????????????????????????????
mmoja wa akina mama akipunga mkono kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli huku akiwa amembeba mtoto wake.
????????????????????????????????????
Nasimama hapa lazima nimuone Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akisalimiana na mbunge wa jimbo la Songwe Mh.Philip  Mulugo.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akizungumza na mbunge wa jimbo la Songwe Mh. Philip Mulugo katika mji wa mkwajuni.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Mgombea ubunge wa jimbo la Songwe Mh Philip Mulugo, kulia ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Abass Kandoro kulia  na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mh. William Lukuvi kushoto.
????????????????????????????????????
Mmoja wa wananchi akiwa ameshikilia kipeperushi cha Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli
????????????????????????????????????
Mmoja wa wananchi akisoma  kipeperushi cha Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli
????????????????????????????????????
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa jimbo la Songwe kupitia CCM Mh Philip Mulugo.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli kulia akiwatambulisha Mh. Abass Kandoro kulia  na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mh. William Lukuvi  wa pili kutoka kushoto na Mery Mwanjelwa Mgombea ubunge viti maalum mkoani Mbeya..
????????????????????????????????????
Mambo ya CCM mpaka kwenye goli la uwanja wa mpira katika mji wa Makongorosi wilayani Chunya.
????????????????????????????????????
Wananchi wa mji wa Makongorosi Wilayani Chunya wakifurahia jambo wakati Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akiwahutubia.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wakati akiwa njiani kuelekea Mjini Chunya huku pembeni yake akiwa na mtoto Yasin ambaye aliomba asalimiane  naye.
????????????????????????????????????
Kila mahali tulipopita tukiwa njiani ni Magufuli tu.
????????????????????????????????????
Teknolojia ya mawasiliano nayo inashika kasi katika kampeni za mwaka huu.
????????????????????????????????????
Ulinzi unaimarishwa katika mikutano ya kampeni.
????????????????????????????????????
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi mjini Chunya.
????????????????????????????????????
Umati uliojitokeza katika mkutano huo ukimsikiliza.
????????????????????????????????????
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mh. William Lukuvi  akijadiliana jambo na na Mery Mwanjelwa Mgombea ubunge viti maalum mkoani Mbeya kushoto na Mgombea ubunge wa jimbo la Songwe Mh. Philip Mulugo.
Post a Comment