JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
JESHI LA POLISI TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
JESHI LA POLISI TANZANIA
TANGAZO KWA UMMA.
JESHI LA POLISI TANZANIA
LINAWAJULISHA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014, KIDATO CHA NNE
MWAKA 2014 NA JKT MWAKA 2015 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI
KUWA WANATAKIWA KURIPOTI KWA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA TAREHE
28/08/2015 KWA AJILI YA MAANDALIZI YA USAFIRI WA KWENDA SHULE YA POLISI
TANZANIA
TAREHE 29/08/2015.
TAREHE 29/08/2015.
KILA MMOJA ATATAKIWA KUWA NA NAULI
YA KUMWEZESHA KUSAFIRI TOKA MAKAO MAKUU YA MKOA ANAKOANZIA KUSAFIRI
HADI SHULE YA POLISI MOSHI NA ATAREJESHEWA NAULI ATAKAPOFIKA CHUONI
BAADA YA KUWASILISHA TIKETI YA SAFARI. AIDHA TAREHE YA MWISHO YA
KURIPOTI CHUONI NI TAREHE 05/09/2015 NA ATAKAYERIPOTI BAADA YA HAPO
HATAPOKELEWA.
AIDHA VIJANA HAO WATALAZIMIKA KUFIKA SHULENI WAKIWA NA VITU VIFUATAVYO :
1.VYETI VYAO VYOTE VYA MASOMO (ORIGINAL ACADEMIC CERTIFICATES/RESULT SLIP PAMOJA NA LEAVING CERTIFICATES) KIDATO CHA NNE, SITA NA VYUO.
2.VYETI HALISI VYA KUZALIWA (ORIGINAL BIRTH CERTIFICATES). HATI YA KIAPO CHA KUZALIWA HAITAKUBALIKA.
3. MASHUKA MAWILI RANGI YA BLUU BAHARI (LIGHT BLUE)
4.CHANDARUA CHENYE UPANA FUTI TATU
5.NGUO ZA MICHEZO (TRACK SUIT NYEUSI,T-SHIRT BLUE NA RABA)
6.PASI YA MKAA.
7.NDOO MOJA.
8.PESA ZA KULIPIA BIMA YA AFYA KIASI CHA SHILINGI ELFU HAMSINI NA MIA NNE TU (50,400/=).
9.PESA KIDOGO YA KUJIKIMU.

ZINGATIA: KWA MUJIBU WA KANUNI ZA
SHULE YA POLISI NI MARUFUKU KUFIKA SHULENI NA SIMU YA MKONONI.
ATAKAYEPATIKANA NA SIMU ATAFUKUZWA SHULENI HAPO. SHULE ITAELEKEZA NA
KUSAIDIA KUFANYA MAWASILIANO.
MAJINA YA WAHITIMU YANAPATIKANA KUPITIA TOVUTI www.policeforce.go.tz au WAFIKE OFISI YA KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.
MAJINA YA WAHITIMU YANAPATIKANA KUPITIA TOVUTI www.policeforce.go.tz au WAFIKE OFISI YA KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.
…………………
Imesainiwa na:
[AHMED Z. MSANGI – SACP]
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.
Imesainiwa na:
[AHMED Z. MSANGI – SACP]
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.
No comments:
Post a Comment