Friday, August 28, 2015

MAGUFULI AHUTUBIA MIKUTANO MIKUBWA WILAYA YA KYELA NA RUNGWE PAMOJA NA BUSOKELO


Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kyela waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa John Mwakangale.
Umati wa wakazi wa Kyela wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM Mhe. Wiliam Lukuvi akisalimia wakazi wa Kyela.
 Mbunge wa Jimbo la Kyela Dk. Harison Mwakyembe akihutubia wakazi wa Kyela waliojitokeza kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli.
 Mbunge wa Jimbo la Kyela Dk. Harison Mwakyembe akihutubia wakazi wa Kyela waliojitokeza kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli.

 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tukuyu Sahul Amon akihutubia wakazi wa Rungwe waliojitokeza kumsikiliza kwenye mkutano wa Kampeni ambao Dk. John Pombe Magufuli alihutubia.
 Mgombea Ubunge Jimbo la Busokelo Kwere Fredy Mwakibete akiwaga sera zake kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambao Dk. John Pombe Magufuli alihutubia.
MMOJA WA VIONGOZI WA CHADEMA TAWI MAARUFU LA KIWIRA TUKUYU WILAYANI RUNGWE AKIONGOZA UJUMBE ULIOHAMA CHAMA NA KUHAMIA CCM AMBAPO KATIKA UJUMBE WAO WAMESEMA WALIFANYWA SANA KUWA DARAJA LA KUVUKIA LAKIN SASA WAMEHAMIA CHA CHA MAPINDUZI

MAGUFULI AKIONDOKA KATIKA VIWANJA VYA TANDALE TUKUYU MJINI HUKU AKIZONGWA NA WATU WENGI AMBAO HAWAKUPATA NAFASI YA KUINGIA UWANJANI NA WENGINE KUCHELEWA KUMSIKILIZA KWA SABABU YA WATU WALITEGEMEA MKUTANO KUFANYIKA JIONIPost a Comment