Thursday, November 19, 2015

Bunge limemthibitisha Kassimu Majaliwa kuwa Waziri Mkuu kwa kura 258 sawa 73.5%, kura 91 sawa na 25.9% zilimkataa. Kura zilipigwa 351.

Post a Comment