Thursday, November 19, 2015

Dk. TULIA NDIYE NAIBU SPIKA: Ashinda kwa kura 250 (71.2%) dhidi ya mpinzani wake Magdalena Sakaya (CUF) aliyepata kura 101 (28.8%). Dk. Tulia ameshaapishwa.

Post a Comment