Friday, November 27, 2015

HABARI ZA HIVI PUNDE: [14:21, 11/27/2015] ‪+255 719 796 992‬: Breaking news....! Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa, awasimamisha kazi Kamishna wa Kodi, Tiagi Masamaki na Habibu Mpozya wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja kutokana ubadhilifu wa fedha kwa makontena zaidi ya 300 yaliyopotea. [14:21, 11/27/2015] ‪+255 719 796 992‬: Walohamishwa kituo na kupelekwa mikoani ni Nsajigwa Mwandege, Robert Nyoni na Anangisye Mtafya.

Post a Comment