Friday, November 27, 2015

#HABARI ZA HIVI PUNDE: Waziri mkuu wa Tanzania Mh.Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya DSM na kuagiza waliohusika na upotevu wa makontena 349 kukamatwa mara moja. Habari zaidi zitawajia hapahapa Kingotanzania

Post a Comment