Tuesday, May 9, 2017

MAAJABU YA RUNGWE.WILAYA YA RUNGWE MKOA WA MBEYA IMEJARIWA KUWA NA VIVUTIO VYA KIUTALII 19 AMBAVYO HAVIPATIKANI DUNIANI KOTE


MUONEKANO WA MLIMA RUNGWE AMBAO KWA UREFU NI WATATU TANZANIA UKIANZIA KILMANJARO  UKIFUATA MLIMA MERU NA UNAFUATA MLIMA RUNGWE AMBAO UNA UTAJIRI WA GESI ASLIA NA MADINI , MABWAWA YASIYOPUNGUA MAJI WALA KUONGEZEKA,  MAPOROMOKO YA MAJI, WANYAMA MBALIMBALI WAKIWEPO NA VYULA WANAOPATIKANA RUNGWE TU NA NYANI AINA YA KIPUNJI ANAYEPATIKANA KATIKA MLIMA RUNGWE TU DUNIANI KOTE

TUKUYU MJIN NA KULIA LINAONEKANA NI JENGO JIPYA LILILOJENGWA KWA PESA ZA MAPATO YA  NDANI KATIKA HALMASHAURI YA RUNGWE NA JENGO LINASUBIRIWA KUZINDULIWA TU NA NDIPO ZITAKAPOKUWEPO OFISI YA MKUU WA MKOA MPYA MTARAJIWA  WA RUNGWE


LANDMAK TUKUYU KWA HUDUMA SAFI YA MALAZI ,CHAKULA PAMOJA KUMBI ZA SHEREHE NA MIKUTANO NA MIKUTANO

TANDALE TUKUYU HUONGEZEKA UKUBWA KILA IITWAPO LEO NI MAARUFU KWA MAZAO YA SHAMBANITANDALE TUKUYU WILANI RUNGWE


FINYANGO TATU ZA NYAMA NI TSH 100 NA NDIZI MOJA TSH 50 KAZI KWAKO KULA HADI USHIBE MITAA YA TANDALE TUKUYUUTAMADUNI WA WANYAKYUSA , NGOMA YA IPENENGA


DARAJA LA MUNGU KATIKA MTO KIWIRA


ZIWA NGOSI LIPO KATIKA SAFU ZA MLIMA RUNGWE KATA YA NTOKELA WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA MAARUFU KAMA NAMBA ONE


MAPOROMOKO YA MAJI YA KAPOLOGWE  WILAYANI RUNGWE

HAPA KIJUNGU KATIKA MTO KIWIRA HAPA NI SEHEMU AMBAPO MAJI YA MTO KIWIRA HUINGIA KATIKA MFANO WA CHUNGU NA KUTOKEA SEHEMU NYINGINE NI MFANO WA CHUNGU 


GES ASILIA INAYOPATIKANA RUNGWE NA KIWANDA KIPO RUNGWE


UTAFITI MPYA WA MAJI YA MOTO YANAYOPATIKANA RUNGWE KWA AJILI YA KUZALISHA NGUVU UMEME


NAELEKEA KUANGALIA MAJI YANAYOCHEMKA KATIKA MIAMBA


MR MASANJA AMBAYE  NI AFISA UTUMISHI BUSOKELO NA KATIKATI NI MR PANJA KWA PAMOJA TUKISHANGAA KUONA MAJI YA MOTO HUKU YAKICHEMKA


WENYEJI NA WAGENI MBALIMBALI HAPA KWENYE MFANO WA CHUNGU MAJI YANAPOCHEMKA HUWEKA VIAZI NA MAYAI KWA MUDA MFUPI VINAIVA  TAYARI KWA  KULA


SEHEMU YA MIAMBA INATIPITIWA NA MAJI HAYO YANAYOCHEMKA NA UKIONJA YANA CHUMVI SANA


HAPA NI SEHEM UNAPOFANYIKA UTAFITI WA KUYAPATA MAJI HAYO KWA WINGI KWAAJILI YA KUZALISHA UMEME NA SHUGHURI ZINGINE, KWA TAARIFA ZA AWALI NIKUWA UTAFITI UMEFANIKIWA


SEHEM YA MAJI YANAYOCHEMKA

KWA JOTO LILILOPO MAENEO HAYA LAZIMA UPUNGUZE NGUO

SEHEMU OWEVU MAALUFU KWA WENYEJI KAMA KILAMBO HAPA WAFUGAJI WANALETA MIFUGO YAO ILI KUPATA MAGADI

KILA MTU ANAVUKA MTO KWA STAILI YAKE

NILIFANIKIWA KURUKA BILA YA KUKANYAGA MAJI

  ENDELEA KUFUATANA  kingotanzania  ILI KUJUA ZAIDI VIVUTIO 19 VINAVYOPATIKANA MKOA MPYA WA RUNGWE AMBAVYO HAVIPATIKANI DUNIANI K MUNGU IBARIKI TANZANIA

Post a Comment