Saturday, December 17, 2022

Wadau 1,000 wakutana kujadili sekta ya habari nchini

 

Uploading: 450060 of 450060 bytes uploaded.



Wadau 1,000 wakutana kujadili sekta ya habari nchini
Kongamano la kwanza la sekta ya habari linafanyika leo Jumamosi Desemba 17, 2022 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam likihusisha waandishi wa habari, wahariri, wanafunzi wa vyuo vya uandishi wa habari, maofisa habari, wamiliki wa vyombo vya habari na vyama vinavyohusisha tasnia ya habari.


Dar es Salaam. Historia imeandikwa, hivi ndivyo inavyoweza kuelezwa baada ya kufanyika kongamano la la kwanza la maendeleo ya sekta ya habari lililoandaliwa na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.


Takribani washiriki 1,000 kutoka taasisi mbalimbali zinazohusisha sekta ya habari wamekutana pamoja kwa lengo la kujadili maendeleo ya sekta ya habari nchini.

No comments: