Monday, December 10, 2012

FAMILIA YA MCHUNGAJI N.F. MWALWEGA WA TUKUYU MBEYA INATOA POLE KWA KIFO CHA PAUL LUKONGO

BAADHI YA VIJANA WA MCHUNGAJI MWALWEGA

MAREHEM PAUL LUKONGO KULIA SIKU ALIPOSIMAMIA HARUSI YA MDOGO WANGU BARAKA MWALWEGA

MAREHEM PAUL LUKONGO AKIWA NA BARAKA SIKU YA HARUSI KABLA YA KUELEKEA KANISANI  NA ANAYEONEKANA KICHWA KWA CHINI NI                CAROLINE KINGO

MAREHEMU PAUL LUKONGO NA MKEWE KATIKATI WAKIWA KATIKA PICHA NA BAADHI YA FAMILIA YA MWALWEGA SIKU YA HARUSI YA BARAKA HAWA NDUGU ZETU WALISIMAMIA HARUSI

MAREHEM PAUL LUKONGO NA MKEWE KULIA NA BARAKA NA MKEWE KUSHOTO SIKU BARAKA ALIPOKUWA ANABATIZA MTOTO WA KWANZA, HAPA WANAFURAHIA MATUNDA YA NDOA. MAREHEM
Marehem Paul Lukongo amefariki saa 6 usiku wa kuamkia jumamosi tarehe 08.12.2012 baada ya kulalamika kichwa kuwa kinamuuma sana ndipo alipo kimbizwa hospitali ya Amana jijin Dsm na ndipo mauti ikamkuta baada ya masaa 4 kufikishwa Hospitalin hapo.

Leo usiku mkewe na marehem Paul anawasiri akitokea safari yake ya kikazi USA, ibada ya kumuaga marehem itafanyika Kanisa la KKT la Ubungo siku ya kesho asubuhi tarehe 11.12.2012 na baada ya kuaga mwili wa marehem safari ya kuelekea kijijini Ulyangulu wilaya ya Ulambo mkoa wa Tabora katika familia ya mzee Lukongo ndipo maziko yatafanyika.

Familia ya Mchungaji Mwalwega na wote tunaungana kuwapa pole mke wa marehem Tumpe na watoto wake Abigaili na Yvonne, wazazi wake na ndugu na jamaa kwa msiba mzito ulio tokea ghafra nasi katika mazishi hayo tutawakilishwa na  Baraka pamoja na mkewe . Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana na lihimidiwe. Ayubu.1:21C.
na

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA DIWANI

MAREHEMU JOSEPH MWASOKWA
MNAMO TAREHE 09/12/2012 MAJIRA YA SAA 06:30HRS HUKO MAENEO YA BLOCK - T JIJI NA MKOA WA MBEYA. JOSEPH S/O NELSON MWASOKWA, MIAKA 78,KYUSA, AFISA USALAMA WA TAIFA MKOA WA MBEYA [MSTAAFU] NA MKAZI WA BLOCK T . ALIGUNDULIWA KUUAWA NYUMBANI KWAKE KWA KUKATWA NA KITU CHENYE MAKALI KINACHODHANIWA KUWA NI PANGA NA MTU/WATU WASIOFAHAMIKA.  MWILI WA MAREHEMU ULIKUTWA NA MAJERAHA MAKUBWA SEHEMU ZA SHINGONI, KICHWANI MABEGANI NA MKONO WA KUSHOTO.  KATIKA TUKIO HILO  HAKUNA KITU CHOCHOTE CHA MAREHEMU KILICHOCHUKULIWA KWANI MAREHEMU ALIKUTWA NA PESA TASLIMU TSHS 107,000/= DOLA 200 ZA KIMAREKANI NA SIMU MOJA YA MKONONI. MBINU ILIYOTUMIKA NI KUMVIZIA WAKATI AKIINGIA KWENYE GETI LA NYUMBA YAKE. KWA MARA YA MWISHO MAREHEMU ALIRUDI NYUMBANI NA JIRANI YAKE MAJIRA YA SAA 20:00HRS TOKA SOWETO KUTAZAMA FAINALI YA MPIRA WA MIGUU KOMBE LA CHALLENGE KATI YA UGANDA NA KENYA. CHANZO CHA MAUAJI HAYO BADO KINACHUNGUZWA. KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI DIWANI ATHUMANI ANATOA WITO KWA MTU/WATU WENYE TAARIFA JUU YA WALIOHUSIKA NA TUKIO HILI WAZITOE KATIKA MAMLAKA ZINAZOHUSIKA ILI HATUA ZA KISHERIA ZICHUKULIWE.  
Signed By,
    [DIWANI ATHUMANI – ACP]
                                          KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.
pia

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA( TCRA) WAPO MKOANI MBEYA KUPIMA MIONZI YA MINARA YA MAWASILIANO

Baadhi ya wataalamu toka mamlaka ya mawasiliano Tanzania wakiwa katika kupima kiwango cha mionizi ya minara ya mawasiliano mkoani Mbeya hapa ni eneo la ofisi za jiji la mbeya

Hii siyo Mic yaani cha kusemea bali ni moja ya vifaa vya kupimia mionzi ya minara ya mawasiliano hapa nchini


Meneja wa Mipango na Utafiti wa TCRA, Dk. Ali Simba.
akiwa na watumishi wenzake bwana Asajile ailiyeshika kifaa hicho cha kupimia mionzi kushoto kabisa ni Peter Kihongo yeye ni mwanasayansi wa masafa wakiwa katika kuelekezana jambo fulani la kitaalamu

Meneja wa Mipango na Utafiti wa TCRA, Dk. Ali Simba. akiongea na mbeya yetu juu ya umuhimu wa kifaa hicho cha kupimia mionzi ya minara ya mawasiliao
                                                                mpiga picha wa Mbeya yetu
 BONANZA LILILOANDALIWA NA TBL MBEYA KUSHEREHEKEA MIAKA 51 YA UHURU LAFANA MBEYA

TIMU YA TIA MBEYA
TIMU YA WAANDISHI WA HABARI MBEYA
TIMU YA TBL MBEYA
TIMU YA NBC MBEYA KWA UJUMLA TIMU NYINGI SANA ZIMESHIRIKI BONANZA HILI
MECHI KATI YA TIMU YA TBL NA TIMU YA WAANDISHI WA HABARI MBEYA
GOOOOOOOOOO
NETBOLL PIA WALIKUWEPO TIMU MBALI MBALI ZILISHIRIKI MCHEZO HUO


MCHEZO WA KUVUTA KAMBA ULIKUWEPO
NI FURAHA TU UWANJANI HAPO
MINDU GODPHREY TOKA TBL AKIPANGA VIKOMBE VITAKAVYOTOLEWA KWA WASHINDI WA MICHEZO MBALIMBALI
WATOTO NAO NI FURAHA TUPU
MCHEZO WA KUKIMBIA NA GUNIA ULIKUWEPO
WATAALAMU WA USHAURI NASAHA NAO WALIKUWEPO UWANJANI HAPO KUTOA ELIMU YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI
NI RAHA TUPU
picha kwa hisani ya Jem mwaisango

No comments: