Saturday, January 19, 2013

BAADA YA SHEREHE NZITO YA KUAGA MWAKA WADAU NA WANACHAMA WA MBEYA PRESS CLUB VIONGOZI WAPATIKANA NA KASHIFA YA UBADHILIFU WA PESA ZA CLUB, NGUVU YA UMMA YA WAANDISHI YAWAONDOA MADARAKANI KUPISHA UCHUNGUZI LEO

SHEREHE YA WANAHABARI NA WADAU WA HABARI YAFANA MBEYA

HAPA KAMANDA WA POLISI MKOA MBEYA DIWANI WAKIPONGEZANA NA NA MDAU WAHABARI MWAIGAGA KATIKA SHERHE YA KUAGA MWAKA 2012 NA KUUKARIBISHA 2013 SHEREHE HIYO ILIFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MTENDA JIJINI MBEYA
JOSEPH MWAISANGO MWANDISHI WA MBEYA YETU HAKUWA NYUMA KATIKA KUPONGEZANA KATIKA SHEREHE HIYO
KAMANDA WA TAKUKURU MKOA WA MBEYA DANIEL MTUKA AKIWASHUKURU WANAHABARI KWA USHIRIKIANO ULIOPO KATI YA WANAHABARI NA TAKUKURU KWAMBA USHIRIKIANO HUO UENDELEE KUDUMISHWA 
MWENYEKITI WA USALAMA BARABARANI MKOA WA MBEYA MWAIGAGA AKIWASHUKURU WANAHABARI
KAMANDA DIWANI AKIFUNGUA MUZIKI KATIKA SHEREHE HIYO

MKURUGENZI WA UTPC ABUBAKAR KASAN AKIONYESHA UMAHILIWAKE WA KUSAKATA RUMBA

KAMA KAWAIDA YA MZEE WETU MWASUMBI HUPENDA UTANI

MZEE WETU NJAVIKE KATULIA TULI AKIANGALIA VIJANA WAKE WAKISAKATA RUMBA

Friday, January 18, 2013

LIVEEE SHEREHE YA WANAHABARI WA MBEYA KUUAGA MWAKA 2012 NA KUUKARIBISHA MWAKA 2013

MGENI RASMI KAMANDA WA POLISI  MKOA WA MBEYA DIWANI AKIONGEA NA WADAU WA HABARI NA WANAHABARI WA MBEYA KATIKA SHEREHE YA KUUAGA MWAKA 2012 N KUUKARIBISHA 2013
MWENYEKITI WA KAMATI NZITO YA SHERAKIMKA RIBISHAEHE HII PATRICK KOSIMA  AKIMKARIBISHA MGENI RASMI
TUNASEMA IMEJIBU SHEREHE IMEFUNGULIWA MC WETU CHALES MWAKIPESILE AKIFANYA VITU VYAKE
HII NDIYO KAMATI KUU YA MAANDALIZI YA SHEREHE HII

RUMBA LIMEANZA SASA
INAPENDEZA SANA

Post a Comment