|
BAADA YA MAGEUZI YA KIHISTORIA SASA PICHA YA PAMOJA |
|
MWENYEKITI ALIYEONDOLEWA MADARAKANI MR CHRISTOPHA NYANYEMBE |
|
KAMERA YA MBEYA YETU IKIWA KAZINI |
|
MAKAMU MWENYEKITI AKIJITETEA MBELE YA MKUTANO KUWA MAAMUZI YOTE YALIYOFANYIKA KUPOTEA KWA PESA HAYAKUWA NA BARAKA NA KAMATI KUU KWAKUWA TANGU UCHAGUZI UFANYIKE HAIJAWAHI TOKEA KUFANYIKA KIKAO CHOCHOTE CHA MAAMUZI |
|
MWENYEKITI ALIYEONDOLEWA MADARAKANI MR CHRISTOPHA NYANYEMBE ALIYEVAA TISHET PUNDAMILIA HAPA MBELE AKISHUHUDIA KURA ZA KUMUONDOA MADARAKANI |
|
KAMATI KUU YA MBEYA PRESS CLUB NAYO IKATOLEWA KWANI SAMAKI MMOJA AKIOZA?? |
|
MWENYEKITI WA KIKAO CHA DHARULA MR MWAKILILI AKIONGOZA KIKAO KWA MAKINI |
|
WANGAPI WANASEMA MWENYEKITI AJIUZULU ? |
|
HII NDIO NGUVU YA UMMA KUWAJIBISHANA INAPOBIDI KUWA ILI KUONGEZA UADIRIFU WA UONGOZI KWA UNAOWAONGOZA |
|
FESTO SIKAGONAMO AKISOMA
TAARIFA YA KAMATI KUU NA KUSEMA KUWA KAMATI KUU ILIDHARAULIWA NA MWENYEKITI
|
|
CHARLES MWAKIPESILE AKISEMA KUWA
ANAJIUZULU KWASABABU HAYUPO TAYARI KUCHANGANYIKANA NA KUFANYA KAZI NA VIONGOZI
WABADHILIFU NA YEYE ALIKUWA MJUMBE WA KAMATI KUU.
|
|
RASHID MKWINDA AKISOMA MALALAMIKO KWA NIABA YA WANACHAMA WENZAKE
|
|
WANACHAMA WAKIWA MAKINI KUSIKILIZA TAARIFA YA CHAMA |
|
MKURUGENZI WA UTPC ABUBAKAR KARSAN ALIYEHUDHURIA KAMA SHUHUDA
KATIKA MKUTANO HUO ALIPATA WAKATI MGUMU WA KUWATULIZA WANACHAMA NA KUWASII WAFUATE KANUNI ZA MKUTANO |
|
UMAKINI ULITAWARA KWENYE KIKAO HIKI |
|
CHRISTOPHER NYENYEMBE MWENYEKITI
ALIYELAZIMISHWA KUJIUZULU KUTOKANA NA TUHUMA ZA UBADHIRIFU WA FEDHA ZA KLABU
HIYO
|
|
HII NDIYO KAMATI KUU ILIYODHARAULIWA NA MWENYEKITI NA KUPELEKEA KAMATI HII KUJIUZULU |
|
MWENYEKITI WA KAMATI YA MUDA YA KLABU YA MBEYA PRESS BRANDY
NELSON AKIWASHUKURU WANANCHI BAADA YA KUCHAGULIWA KUIONGOZA KAMATI HIYO,
KUSHOTO NI MKURUGENZI WA UTPC ABUBAKAR KARSAN ALIYEHUDHURIA KAMA SHUHUDA KATIKA
MKUTANO HUO
|
|
HII NDIYO KAMATI KUU YA MUDA ILIYOCHAGULIWA NA WANACHAMA |
|
KATIBU WA KAMATI YA MUDA USWEGE
LUHANGA AKISHUKURU WANACHAMA BAADA YA KUCHAGULIWA KATIKA KAMATI YA MUDA
|
|
MWEKA HAZINA WA KAMATI YA MUDA EMANUEL LENGWA AKISHUKURU BAADA
YA KUCHAGULIWA KUSHIKILIA NAFASI HIYO
|
|
PICHA YA PAMOJA MARA BAADA YA KUMALIZA MKUTANO HUO KATIKA HOTELI YA MBEYA PEAK
Brady Nelson
mwenyekiti,katibu Uswege Luhanga na ,Mwekahazina Emmanuel Lengwa,wajumbe ni
Hosea Cheyo,Modestus Nkulu,Festo Sikagonamo na Esther Macha ambao watakuwepo
madarakani kwa miezi minne kabla ya kuitisha uchaguzi Rasmi.
|
|
MWENYEKITI WA MUDA BRAND NELSON |
|
HAWA JAMAA SIJUI WANAPONGEZANA KWA LIPI |
HALMASHAURI YAANZA KURUDISHA KWA NGUVU NYUMBA ZA SERIKALI KWA WALIOUZIWA NA BAADAYE WALIRUDISHIWA PESA NA WENGINE LUZIKATAA
|
HAPA BAADA YA KUONDOA VYOMBO VYA MPANGAJI NA KUIFUNGA NYUMA MIJAWAPO KATI YA 11 ZILIZOUZWA AWALI |
|
MMMMM HIII GALI NI YA SERIKALI HAINA HATA NAMBA HEBU CHEKI KWA CHINI IMEFUNGWA NA KAMBA |
|
MMMM KAMBA GALI YA SERIKALI? |
|
MMOJA WA WAHANGA WA KUFUKUZWA KATIKA NYUMBA ZA SERIKALI BAADA YA KUZIREJESHA NAYE AKAPATA NAFASI YA KUBIPIGA PICHA |
|
ZOEZI NI GUMU SANA KUONDOA WAKAZI 11 HAPA WAFANYAKAZI WA MAJEMBE NA HALMASHAURI WAKIPUMZIKA KIDOGO NA KUENDELEA NA ZOEZI |
MDOGO WANGU WA MWISHO MR UWEZO N. MWALWEGA ATARAJIA KUPATA MKE
|
UKIONA MWANAUME KAPIGA MAGOTI JUA ........UJANJA UMEKWISHA |
|
BABA NA MAMA MCH, MWALWEGA WAKIWA NA MAMA MKWEWETU PAMOJA NA UWEZO NA MKEWE MTARAJIWA |
|
SEHEMU YEYOTE HUWEZI UKAKOSA WAPAMBE HAPO MR IKU P, KUSHOTO NA MTANZANIA OWEN PAMOJA NA MKEWE WAKIWA NA WATARAJIWA WA MWEZI WA 5 TAREHE 11 |
|
FAMILIA YETU YA KICHUNGAJI MWISHO WA SIKU MUHIMU KUPIGA MAGOTI UKAPATA BARAKA |
Watanzania Tuokoe Maisha ya Mtoto Hanifa (Miaka 5)
Mtoto
Hanifa Salum Hassan mwenye umri wa miaka mitano anasumbuliwa na ugonjwa
wa Saratani ya Damu (Leukemia) ambao umemfanya ashindwe kusimama na
kutembea, anasumbuliwa na maumivu ya kichwa wakati wote, wakati mwingine
hushindwa kupumua hivyo kulazimika kupumua kwa kutumia mashine pia
hawezi kula analishwa kwa kutumia mirija na pia kila baada ya muda
inabidi abadilishiwe damu.
MATIBABU
Matibabu ya mtoto Hanifa ni ya gharama kubwa sana. Ugonjwa wake
haukujulikana alipopelekwa Hospitali ya taifa Muhimbili lakini
alipopelekwa nchini India gharama za uchunguzi pekee zilikuwa dola 7,600
ambapo mtoto Hanifa aligundulika kuwa na ugonjwa wa Acute lymphoblastic
Leukemia. Matibabu yake yalipangwa yawe kwa awamu tatu ambapo awamu ya
kwanza ya matibabu iligharimu dola 10,000. Mwisho wa awamu ya kwanza
zilihitajika dola 10,000 zingine ili aingie kwenye awamu ya pili ya
matibabu lakini uwezo wa ndugu na jamaa ulikuwa ndio umeishia hapo hivyo
matibabu ya mtoto Hanifa yalilazimika kukatishwa na Hanifa kurudishwa
Tanzania. Ripoti za madaktari India zilipelekwa Muhimbili ambapo
matibabu ya mtoto Hanifa yalipangwa kugharimu Tsh. milioni 2 kwa mwezi.
Hakuna pesa za kumwezesha mtoto kuanza matibabu Muhimbili hivyo mtoto
Hanifa amebaki nyumbani jijini Dar es Salaam akiwa kwenye hatari kubwa
ya maambukizi mbalimbali ambayo yanaweza kuhatarisha maisha yake.
Hadi
sasa ndugu na jamaa wanahaha kutafuta pesa za kumwezesha mtoto Hanifa
kumalizia awamu mbili za matibabu yake nchini India kama ikiwezekana au
ikishindikana basi aweze kuanza matibabu Muhimbili.
MICHANGO
Kwa watakaopenda kujitolea kuokoa maisha ya Mtoto Hanifa wanaombwa watoe michango yao kupitia akaunti hizi
Kwa walio Tanzania
Jokha Khamis Issa
Akaunti Namba: 041212000428
People Bank of Zanzibar
Kwa mawasiliano namba ya simu ni: +255 777 462587Kwa walio nje ya Tanzania wanaweza kutuma michango yao kwa akaunti hii
Suleiman Maadini
Account Number: 15092968
Sort Code: 30-67-99
Bank: Lloyds TSB
Country: United Kingdom
NA
CCM kazi imeanza mangula ateta na mabalozi ccm
Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula akizungumza na wajumbe wa
nyumba kumi wa Ilemela na Nyamagana jijini Mwanza, alipokutana nao
kwenye Uwanja wa Nyamagana, leo Januari 20, 2013, kabla ya kuhutubia
mkutano wa hadhara kwenye uwanja huo.
Wajumbe
wa nyumba kumi wakimsilikiza Mangula alipozungumza nao kwenye Uwanja wa
Nyamagana jijini Mwanza muda huu kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara
baadaye kwenye Uwanja huo.
Wajumbe
wa nyumba kumi wa Ilemelea na Nyamagana jijini Mwanza, wakiwa katika
foleni kwa ajili ya kumuuliza maswali Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)
Philip Mangula, alipozungumza nao kwenye Uwanja wa Nyamagana, leo
Januari 20, 2013 na maswali yote yalijibiwa kwa ufasaha
MBEYA NA AJALI TENA
|
BASI
LA NGANGA LILILOKUWALINATOKEA MBEYA KWENDA DSM LIMEPINDUKA ENEO LA
IMEZU MBEYA AJALI HIYO IMETOKEA MAJIRA YA SAA MBILI ASUBUHI ABIRIA
MMOJA AMEFARIKI PAPO HAPO NA ZAIDI YA MAJERUHI 40 WAMEPELEKWA KATIKA
HOSPITALI YA RUFAA MBEYA ABIRIA ALIYEFARIKI AMETAMBUWA KWA JINA LA ENOCK
LWILA MKAZI WA MAMA JOHN MBEYA NA NIMFANYABIASHARA MWANJELWA |
|
BAADHI YA WAKAZI WA IMEZU WAMESEMA AJALI HIYO IMESABABISHWA NA MWENDO KASI |
|
MWILI WA MAREHEMU ENOCK LWILA UKIWA UMELAZWA CHINI KUSUBIRI WANA USALAMA KUJA UCHUKUA |
|
MAREHEMU
ENOCK LWILA AMEKUTWA NA ZAIDI YA SHILINGI MILION 15 KATIKA SOKSI NA
KWENYE MIFUKO YAKE YA SURUALI INASEMEKEANA ALIKUWA ANAENDA DSM KUNUNUA
BIDHAA MBALIMBALI ZA DUKANI KWAKE |
|
HAPA
WANAUSALAMA WAKIHESABU PESA WALIZOZIKUTA KWENYE MWILI WA MAREHEMU ENOCK
HUKU WANANCHI WAKISIMAMIA KWA MAKINI ZOEZI HILO LA KUHESABU HIZO HIZO
PESA ZAIDI YA SHILINGI MILION 15 ALIKUWANAZO MAREHEMU |
|
TAARIFA KAMILI YA KUHUSU AJALI HII TUTAWALETEA | | |
No comments:
Post a Comment