Wednesday, January 16, 2013

SASA NDOTO ZIMEKUWA KWELI SHEREHE YA UANZAJI WA SAFARI YA PRICISIONAIR MBEYA LEO

LIVEEEEE!!!!! NDEGE YA PRECISION AIR YATUA MUDA HUU UWANJA WA KIMATAIFA WA SONGWE MBEYA IKIWA NI SAFARI YAKE YA KWANZA , YAPOKELEWA KWA SHANGWE!! SHUHUDIA

LIVEE!! SHEREHE ZA MAPOKEZI YA NDEGE YA PRECISION AIR MKOANI MBEYA MUDA HUU,

 KIKUNDI CHA NGOMA KIKITUMBUIZA MUDA MCHACHE BAADA YA NDEGE KUWASILI 

 VIONGOZI WA SERIKALI PAMOJA NA WADAU MBALIMBALI WAKISHUHUDIA UJIO WA SAFARI ZA KWANZA ZA PRECISION AIR MKOANI MBEYA KATIKA UWANJA WA KIMATAIFA WA SONGWE.
 KILA MWANDISHI ANAJITAJIDI KUPATA PICHA NZURI YA NDEGE 
WAFANYAKAZI WA PRECISION AIR WAKIWA WAMEPENDEZA MUDA HUU KATIKA UWANJA WA KIMATAIFA WA SONGWE MBEYA
 BURUDANI BADO INAENDELEA HAPA
 VIONGOZI WA SERIKALI PAMOJA NA WADAU MBALIMBALI WAKIWA WANATAZAMA KWA UMAKINI NGOMA YA ASILI IKITUMBUIZA
 HII NI MEZA KUU
 NAO WAKAZI WA SONGWE MKOANI MBEYA WAMEFIKA UWANJA WA NDEGE KUSHUHUDIA JINSI NDEGE YA SHIRIKA LA PRECISION AIR ILIPO TUA ENEO HILO.
 MKUU WA WILAYA WA MBEYA MHESHIMIWA NORMAN SIGALA, AKIONGEA MUDA BAADA YA NDEGE KUWASILI
MKURUGENZI MTENDAJI WA PRECISION AIR NDUGU SHIRIMA AKIONGEA NA WAGENI WAALIKWA PAMOJA NA WANANCHI WALIO JITOKEZA KATIKA KUPOKEA NDEGE HIYO AMBAYO INAANZA SAFARI ZAKE ZA KWANZA MKOANI MBEYA NA KUWASHUKURU  KWA MAPOKEZI HAYO.
 MKURUGENZI WA UCHUKUZI MHESHIMIWA PETER LUPATU , AKIMWAKILISHA WAZIRI WA UCHUKUZI KATIKA UZINDUZI WA SAFARI HIZO MKOANI MBEYA
MSHEHERESHAJI MC CHARLES MWAKIPESILE AKIZUNGUMZA JAMBO WAKATI WA SHEREHE HIZO 

NDEGE YA PRECISION AIR IKIWA INAWASILI KATIKA UWANJA WA KIMATAIFA WA SONGWE MBEYA MUDA HUU
MUELEKEZAJI AKIWA ANAELEKEZA WAPI NDEGE YA PRECISION AIR IPATE KUSIMAMA
VIONGOZI MBALIMBALI YA SERIKALI WAKIWA WANANGOJA MAPOKEZI YA NDEGE YA PRECISION AIR AMBAYO NDIYO INAANZA SAFARI ZAKE ZA KWANZA MKOANI MBEYA
NDEGE YA PRECISION AIR MUDA MUCHACHE KABLA YA ABIRIA HAWAJAANZA KUSHUKA

ABIRIA WAKIWA WAMEWASILI SALAMA NDANI YA UWANJA WA KIMATAIFA WA SONGWE MBEYA .
PICHA ZOTE NA Jem wa MBEYA YETU

Post a Comment