Monday, March 25, 2013

WAJASIRIAMALI MBEYA WAPATA MAFUNZO YALIYOTOLEWA NA NMB BENKI


 

Meneja wa kanda Lucresia Makiriye akizungumza wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali wa NMB jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.
Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Diwani Athumani akizungumza umuhimu wa wafanyabiashara kutotoa namba za siri za kadi za ATM katika mafunzo kwa wajasiriamali wa NMB mwishoni mwa wiki kwenye ukumbi wa rehema Jijini Mbeya.

Baadhi ya wafanyakazi wa NMB wa mkoa wa jiji la Mbeya wakifuatilia kwa makini maelezo kutoka kwa mmoja wa wawezeshaji wa mafunzo ya wajasiriamali wa NMB mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wajasiriamali na wateja wa  NMB wakimsikiliza Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Diwani Athumani kwenye mafunzo ya ujasiriamali kwa wafanyabiashara wa NMB jijini mbeya.
Baadhi ya wafanyabiashara wakifuatilia mafunzo ya NMB jijini Mbeya.
Mmoja wa Maofisa wa Benki ya NMB makao makuu Jeremiah Lyimo akifafanua jambo kuhusu mikopo katika mafunzo kwa wajasiriamali yaliyofanyika jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.
Mmoja wa Maofisa wa Benki ya NMB makao makuu Beatrice Mwambije  akielezea faida za mikopo
Mwenyekiti wa Chama Cha Wafanyabiashara, viwanda na Kilimo, (TCCIA) Mkoa wa Mbeya Julius Kaijage akisisitiza jambo wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali yaliyotolewa Jijini Mbeya mwishoni mwa wiki. 
Mmoja wa wateja wa NMB akichangia wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali yaliyoendeshwa katika ukumbi wa Rehema Jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.
Ofisa Ardhi wa Jiji la Mbeya Castro Ntala akifafanua jambo wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali wa NMB Jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.
Mmoja wa wajasiriamali akichangia jamabo katika mafunzo ya wateja wa NMB jijini Mbeya.
 Mmoja wa wajasiriamali ambaye ni mteja wa Be nki ya NMB Mkoa wa Mbeya Chifu Lyoto akiuliza swali juu ya matatizo na kero mbalimbali wanazokutana nazo wateja katika mikopo.
Mwakilishi wa wafanyabiashara na wateja wa NMB jijini Mbeya Ipini Ipini akizungumza mafanikio yatokanayo na Benki ya NMB wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali mkoa wa Mbeya.
Baadhi ya watumishi wa NMB Mbeya
Baadhi ya watumishi wa NMB makao makuu
Mwakilishi wa wafanyabiashara na wateja wa NMB jijini Mbeya Ipini Ipini akizungumza mafanikio yatokanayo na Benki ya NMB wakati wa mafunzo kwa wajasiriamali mkoa wa Mbeya. 


 ..............................................................................................................

 Rais Kikwete apokea ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa julius Nyerere toka kwa Rais wa China Xi Jinping


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kiikwete akihutubia wageni waliohudhuria sherehe za makabidhiano ya Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere leo jijini Dar es Salaam.

Rais Kikwete aandaa dhifa ya Taifa kwa heshima ya Rais Xi-Jinping wa China

8E9U1655 
Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete wakigonganisha Glasi na Rais Xi Jinping wa China wkati wa dhifa ya kitaifa iliyofanyika ikulu jijini Dar Es Salaam jana jioni.Rais Xi Jinping wa China yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.Ni ziara yake ya kwanza barani Afrika tangu achaguliwe kuliongoza taifa la China hivi karibuni na Tanzania inakuwa nchi ya kwanza kuitembelea barani Afrika(picha na Freddy Maro)

Rais Kikwete na Rais Xi Jinping waweka shada la maua katika katika Makaburi ya wataalamu wa kichina huko Majohe ukonga

Mama Salma Kikwete na Mgeni wake Mke wa Rais wa China Mama Peng Liyuan waweka maua katika makaburi ya Wataalamu wa China

8E9U2296 
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na mke wa Rais wa China Mama Peng Liyuan wakiweka maua katika makaburi ya wataalamu wa China waliofariki wakati wa ujenzi wa Reli ya TAZARA huko katika kijiji cha Majohe,Ukonga nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam huku Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wa Rais Xi Jinping wakishuhudia(picha na Freddy Maro)
...................................................................................................................................................................

No comments: