KWAYA MBALIMBALI ZILIHUDHURIA NA KUIMBA NYIMBO ZA KUABUDU NA KUSIFU |
ASKOFU WA KANISA LA MORAVIANI LUSEKELO MWAKAFWILA |
KIONGOZI WA MAOMBI MCHUNGAJI ASEGELILE MWANDAMPAPA |
MAOMBEZI |
MZEE MWINUKA KULIA AKIWA NA MR KAKIKO AMBAYE NI DARDO WILAYA YA RUNGWE WAKIWA KATI YA WATU WALIOKUWEPO UWANJANI HAPO KUOMBEA AMANI YA NCHI NA WILAYA YA RUNGWE MKOANI MBEYA |
MKUU WA WILAYA CHRISPIN MEELA AKIONGEA NA WACHUNGAJI BAADA YA KUMALIZA MAOMBEZI |
...................................................................................................................................................................
MAHAKAMA YA WILAYA YA RUNGWE WAENDESHA MAFUNZO KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE SEKONDARI YA ILIMA WILAYANI RUNGWE KWA MAADA YA KUJUA KANUNI, HAKI NA WAJIBU WA RAIA
KULIA NI MHESHIMIWA HAKIMU MKAZI JULIANA NANKOMA NA KUSHOTO NI MHESHIMIWA HAKIMU MKAZI GASTO MAJIWE WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WANAFUNZI WA SEKONDARI YA ILIMA WILAYANI RUNGWE |
KIONGOZI WA WANAFUNZI RIZIKI MWAKAGALI AKIULIZA SWALI KWA WATOA MAADA SWALI LILIKUWA NI KWANINI MWANAFUNZI ANAPOPATA MIMBA ANAYE FUNGWA NI MWANAUME? NA HATA KAMA WOTE WAKIWA WANAFUNZI? |
WANAFUNZI WA ILIMA WAKIWA MAKINI KUSIKILIZA |
KULIA MHESHIMIWA GASTO MAJIWE RM - TUKUYU AKITOA MAADA MBELE YA WANAFUNZI HAWAPO PICHANI HUKU MHESHIMIWA JULIANA NANKOMA KUSHOTO AKISIKILIZA NA KUFUATILIA KWA MAKINI |
BAADA YA SOMO KWA WANAFUNZI NIKAPATA NAMI WASAA WA KUPATA SOMO JINSI MAHAKAMA INAVYOTEKELEZA MAJUKUMU YAKE NA KUJUA CHANGAMOTO KATIKA UTENDAJI WA KAZI ZA KILA SIKU |
HALMASHAURI YA RUNGWE WAANZA KUJIANDAA MAPOKEZI YA ZIARA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR JAKAYA KIKWETE ZIARA ITAKAYOANZA MKOANI MBEYA TAREHE 28.04.2012 NA WILAYA YA RUNGWE KUWEPO KWA SIKU NZIMA YA TAREHE 30.04.2013 DR JAKAYA KIKWETE ATAONGEA NA WANANCHI WA RUNGWE PAMOJA NA KUKAGUA SHUGURI ZA MAENDELEO PAMOJA NA KUZINDUA MIRADI
KULIA MKURUGENZI WA WILAYA YA RUNGWE AKIWA NA MKUU WA WILAYA YA RUNGWE |
WAJUMBE WA KAMATI YA MAANDALIZI YA ZIZRA YA RAIS WILAYANI RUNGWE |
WAJUMBE WA KAMATI YA MAANDALIZI WAKISIKILIZA KWA MAKINI |
MEZA KUU IKIONGOZWA NA MWENYEKITI WA KAMATI YA MAANDALIZI DC CHRISPIN MEELA WAKIWA KATIKA KIKAO CHA MAANDALIZI |
HUU NI UGENI MZITO MUHIMU SANA UMAKINI WA MAANDALIZI UFANYIKE |
WAJUMBE WAKIWA MAKINI |
UKIJUA KUPIGA LAZIMA UTAPIGWA NAWE |
ZIARA YA KUUTANGAZA MWONEKANO MPYA WA GAZETI LA MWANANCHI LAFANA MBEYA
Hii ndivyo ilivyokuwa katika uwanja wa sokoine Mbeya katika ziara ya kuutangaza mwonekano mpya wa gazeti la mwananchi |
Hakika gazeti la mwananchi linasomwa na wengi |
Mwonekano mpya |
Mkurugenzi mtendaji wa MCL Tido Mhando akicheka kwa furaha kuona vijana wake wameshindwa kuhimili baridi la Mbeya |
Joseph Mwaisango wa Mbeya yetu akiwakaribisha Mbeya Mkurugenizi wa MCL Tido Mhando na msambazaji mkuu Theo Makunga pamoja dada Brand Nelson wa Mbeya |
Tido Mhando akicheza kiduku katika uwanja wa sokoine jijini Mbeya |
Mkurugenzi mtendaji wa MCL Tido Mhando akiongea na wakazi wa Mbeya katika kutangaza mwonekano mpya wa gazeti la Mwananchi |
Theo Makunga |
Mhariri mkuu Bakari Machumu |
Bob Ayubu |
USIKU WA ZIARA YA KUUTANGAZA MWONEKANO MPYA WA GAZETI LA MWANANCHI MBEYA
Mkurugenzi Mtendaji wa MCL Tido Mhando akizungumza na wadau mbali mbali jijini Mbeya katika sherehe ya kutangaza mwonekano mpya wa gazeti la Mwananchi |
Mkuu wa wilaya Mbeya akiwapongeza wafanyakazi wa MCL kwa kuwahabarisha wananchi kote nchini |
Wadau na wafanyakazi wa Mwananchi wakiangalia makala fupi toka lilivyo anza gazeti la mwananchi mpaka sasa kwenye mwonekano mpya |
Baadhi ya waandishi wa MCL |
Wadau mbali mbali wakisherehekea mwonekano mpya wa gazeti la mwananchi |
MWANANCHI - LEO
...................................................................................................................................................................
No comments:
Post a Comment