Sunday, May 12, 2013

HATIMAYE ENG, UWEZO MWALWEGA NA DR MAGRETH SHIRIMA WAFUNGA PINGU ZA MAISHA KATIKA KANISA LA KKT MBEZI BEACH


UWEZO MWALWEGA NA MAGRETH SHIRIMA WAKIFURAHI BAADA YA KUFUNGAPINGU ZA MAISHA
IBADA YA NDOA ILIFANYIKA KKKT USHARIKA WA MBEZI BEACH


UWEZO MWALWEGA AKIWA NA MSIMAMIZI WAKE WA HARUSI OWEN MWANDUMBYA

IBADA YA NDOA IKIANZA
DR MAGRETH AKIMVISHA PETE YA NDOA IKIWA NDIO ALAMA YA KIAPO CHAO CHA NDOA YA KIKRISTO
ENG, UWEZO MWALWEGA AKIAPA KIAPO MBELE YA MCHUNGAJI  NA WAZAZI KATIKA KANISA LA KKT  USHARIKA WA MBEZI
KUSHOTO NI MAMA MZAZI WA UWEZO MCH RUTH MWALWEGA AKIKABIDHI ZAWADI BIBLIA NA RITRUGIA IKIWA NI ALAMA ZA UPENDO WA FAMILIA YA MCH MWALWEGA KWA WANANDOA
WANA FAMILIA YA MCH MWALWEGA WA SAI MBEYA
HONGERA SANA UWEZO NA MAGRETHKWELI WATU WANATOKA MBALI NAWAKUMBUKA HAWA JAMAA KUNA KIPINDI WAPO CHUO WANAKAA GETO PAMOJA NA WANAKITANDA KIMOJA SASA  NANI ALALE KITANDANI. NIMEAMINI LEO KWA FURAHA WALIOKUWA NAYO HAWA JAMAA NI MARAFIKI WA UKWELI

KUOA RAHA SANA

KATIKATI NIKIWA KATIKA POZI YA PICHA NA MDOGO WANGU OWEN MWANDUMBYA NA MKEWE

FURAHA YA NDOA

HAPA ILIKUWA NI FULL KUPENDEZA SANA

HARUSI NI KUCHEZA NA KULA

MWANAMKE MAKINI UTAMJUA WAKATI WA KUTAMBULISHA TU

KWAITO KAMA KAWA

SASA UKAFIKA WAKATI WA SEBENE HAPO SASA WATOTO WA KICHUNGAJI UTAWAFAHAM KWA KIBAJAJI PALICHIMBIKA SANA

MCHUNGAJI N.F MWALWEGA AKITOA NASAHA KWA MAHARUSI NA KUWASHUKURU WAGENI WAALIKWA KUWA KUJUMUIKA KATIKA HARUSI YA UWEZO NA MAGRETH

FAMILIA YA SHIRIMA

BARAKA MWALWEGA WAKIWA NA MKEWE KATIKA POZI LA PICHA

HAWA WENGINE SIJUI WANAFURAHIA NN JAMANI AAAAAAAA KUMBE MAHARUSI WAMETULIA SASA
.................................................................................................................................................................

KIPANYA LEO

kp08052013 bbd5d
.................................................................................................................................................................


Post a Comment