| SASA NDIO NAELEKEA KUFIKA KIJIJINI MZENGA WILAYA YA KISALAWE MKOA WA PWANI |
| SAFARI NI SAFARI GIA ZINAPIGWA KWENDA MZENGA KWA USAFIRI WA KAWAIDA HUKU TANKI LA MAFUTA LIKIWA KARIBU NA DELEVA |
| NIPO NA SHANGAZI YANGU AMBAE NDIYE WA MWISHO KWA BABA YAO KINGO NA NDIYE ALIYEFUATANA NA BABA YANGU |
| KULIA NI MAMA KINGO AKIPOKELEWA KWA FURAHA NA MAMA MKUBWA ANAYEFUATA NA WAKINA DADA PIA WAJOMBA |
| SEHEMU YA MINAZI ILIYOPO NYUMBANI MZENGA |
| KWA MGENI AKIFIKA MAENEO YA MJINI HULETEWA JUICE, MAJI AU SODA LAKINI HUKU KWETU MZENGA UNALETEWA MADAFU |
| UKIWA HUKU KILA KITU UNAKULA NI CHA ASIRI TU |
| UKUONA HATA IKIWA USUKU WENYEJI WAKO WANAHANGAIKA KUANGUA DAFU BASI UJUE HAPO UNAHESHIMIKA HAPO SHANGAZI AKIMPA MWANAE MAMA KINGO DAFU IKIWA NI ISHARA YA UKARIBISHO |
| SASA NI MWAKA MMOJA UMEFIKA TANGU BABA YANGU MZAZI AFARIKI DUNIA |
| LALA SALAMA BABA YANGU MZEE RAMADHAN KINGO |
| HAPA NDIPO BABU YANGU KINGO ALIYEZAA WATOTO WA KIUME WANNE NA WAKIKE WAWILI KWA MKE MMOJA BINTI KONDO ALIPO LALA |
| KABURI HILI NILA MUIMBAJI WA MUZIKI TANZANIA ENZI HIZO MBARAKA MUSHEHE NA HAPA NDIPO ALIPOZIKWA NYUMBANI KIJIJINI MZENGA NA MBARAKA MUSHEE KWA MIMI NI BABA MKUBWA |
| SEHEM YA MAZIARA NYUMBANI NILIKWA NAPALILIA NYASI ZILIZOOTA |
| ASUBUHI NJEMA NA YENYE BARAKA TELE JAMANI NYUMBANI NI NYUMBANI |
| RAHA YA CHAKULA KULA JAMVINI NA HASA CHAKULA CHA ASARI |
| CHAKULA CHA MCHANA NIKIWA KIJIJINI MZENGA |
| KWA WALE WALIOMFAHAM AU KUSIKIA MUZIK YA BARAKA MUSHEHE HAPA NDIO NTUMBANI KWAKE ALIPOZALIWA MZENGA |
| IKULU YA KINGO ILIYOJENGWA MWAKA 1960 |
| HII NDIO IKULU YA BABU YANGU KINGO IKIWA NDIO NYUMBA YA KWANZA KUJENGWA NA KUEZEKWA BATI MWAKA 1960 NA HADI SASA BADO TUNAITUMIA |
| HAPA NI SEHEM YA KUFANYIA MATAMBIKO MADOGO YA KIFAMILIA PANAITWA MWANAMBAGU |
| KARIMGUNI SANA KWETU MZENGA WILAYA YA KISALAWE MKOA WA PWANI KIJIJI KILICHO NA CHAKULA CHA KUTOSHA NA WATU WACHAPA KAZI NA WENYE BUSARA |
....................................................................................................................... WATU WANNE WAFARIKI SIKU MOJA KWA AJALI 3ZILIZOTOKEA MKOA WA MBEYA MBILI ZATOKEA WILAYA YA RUNGWE AJALI NA MAJERUHI 19 WALAZWA WILAYANI RUNGWE NA RUFAA MBEYA
| GARI YA AINA YA COSTA T 399 AUD ILIYOGONGWA KWA NYUMA NA KISHA KUPINDUKA ENEO LA KANYEGELE UWANJA WA NDEGE WILAYANI RUNGWE |
| HUU NI UPANDE WA NYUMA WA COSTA HIYO |
| BAADHI YA WASIO WASAMARIA WEMA WAKITAFUTA FEDHA ZILIZODONDOKA KUTOKA KATIKA BASI HILO HATA HIVYO VIJANA HAO WALIZOMEWA NA WANANCHI WALIOFIKA KUTOA MSAADA |
| HILI NDILO ROLI LILILO IGONGA COSTA KWA NYUMBA NA KUSABABISHA AJALI HIYO NAMBARI YA ROLI T 712 CZC NA TERA LENYE NAMBALI T 444 CCZ LIKIWA NA SHEHENA YA MBOLEA |
| MOJA KATI YA MAJERUHI AKIWA KATIKA HOSPITALI YA TUKUYU |
| BAADHI YA MAJERUHI WAKISUBIRI HUDUMA |
| BAADHI YA WAGONJWA WAKISAFIRISHWA KWENDA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA |
| KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA RUNGWE ILIPOTEMBELEA MAJERUHI WALIOPATA AJALI |
Picha na Ezekiel Kamanga
.............................................................................................................................................................AJALI TENA WILAYANI RUGWE MKOANI MBEYA MMOJA AHOFIWA KUFA MAJERUHI MWINGINE APELEKWA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA
| MKUU WA WILAYA RUNGE AKISIMULIWA NA MOJA WA MASHUHUDA WA AJALI HIYO |
AJALI MBAYA IMETOKEA MCHANA WA LEO WATATU WAFARIKI PAPO HAPO BAADA YA ROLI KUPINDUKA BARABARA YA CHUNYA MAENEO YA MWANSEKWA
| BAADHI YA WACHINA WANAOTENGENEZA BARABARA YA CHUNYA WAKIWASIKILIZA WANANCHI WALIOSHUHUDIA AJALI HIYO IKITOKEA |
Picha na Mbeya yetu |
AJALI MBAYA IMETOKEA MBALIZI MBEYA MMOJA AFARIKI PAPO HAPO NA WANNE MAJERUHI
| MAREHEMU SELEMANI JUMA SELEMANI ALIYEKUWA TINGO WA ROLI HILO AMEFARIKI PAPO HAPO |
| AJALI HII IMETOKEA KWENYE MTEREMKO WA MBALIZI ROLI HILO INA SEMKANA LILI FERI BREKI |
HATIMAYE ENG, UWEZO MWALWEGA NA DR MAGRETH SHIRIMA WAFUNGA PINGU ZA MAISHA KATIKA KANISA LA KKT MBEZI BEACH
|
No comments:
Post a Comment