Friday, May 10, 2013

WADAU WANGU USIKU WA LEO NIMESHUHUDIA MAUTI UKIMFIKA MTU LIVE SIJAWAHI SHUHUDIA HILI LEO MALA YANGU YA KWANZA. HAPA NI MWENGE USIKU WA LEO KIBAKA WANAOTUMIA PIKIPIKI WALIPORA MKOBA WA COMPUTER MAKUMBUSHO NA KUFANIKIWA KUKIMBIA LAKINI SIKU HAIKUWA YAKE KUFIKA MWENGE AKAKUTANA NA WAENDESHA PIKIPIKI WALIOFANIKIWA KUMKAMATA NA KUANZA KUMPA KISAGO HADI KUFIKIA MAUTI

KICHAPO

KICHAPO KILIPOZIDI NAPO JAMAA ALISIMAMA TENA NDIPO ALIPOZIDISHA HASIRA ZA WATU
AAAAA HAPA KAZIDIWA KWA KIPIGO CHA MAWE


NIMEAMINI VIJANA WANA HARIRA
KAMA KAWAIDA YAO MWISHO WA TUKIO NDIO WANAFIKA

 .................................................................................................................................

KIOJA CHA MWAKA 2013...MWANAUME KWA MWANAUME WAFUMWA LAIVU GEST

Aibu hiyo ya mwaka ambayo ilionekana pia kama kituko ilijiri majuzi mwaka huu ndani ya gesti moja maarufu iliyopo Devi’s Corner –Tandika, jijini Dar es Salaam.
Mama Salome akimpa kisago mumewe baada yakumfumania akiwa na Mwita (kushoto) anayedaiwa kuwa shoga





...Watuhumiwa wakipelekwa kituo cha polisi.

Baba Salome (kulia) na Julius Mwita baada ya kufumaniwa wakiwa katika hatua za mwisho za kuingiliana kimwili.

Aibu hiyo ya mwaka ambayo ilionekana pia kama kituko ilijiri Mei 3, mwaka huu ndani ya gesti moja maarufu iliyopo Devi’s Corner –Tandika, jijini Dar es Salaam.
HABARI ZA AWALI
Awali ilidaiwa kuwa, mwanaume huyo na baba Salome mwenye mke na watoto wawili wanaomtegemea kwa kila kitu, walionekana wakiingia kwenye gesti moja ambayo pia ipo maeneo hayo hali iliyozua maswali kwa watu waliokuwa wakiwafahamu.
“Unajua tatizo lilianzia wapi? Baba Salome na yule mwanaume mwenzake walionekana wakiingia gesti moja kisha wakatoka, wakaingia nyingine pia wakatoka, ndipo watu wanaowafahamu wakajiuliza kulikoni wawili hao kutembelea gesti siku hiyo, wakawafuatilia,” alisema mnyetishaji mmoja.
Akaendelea: Lakini watu waliwafahamu kwa namna mbili tofauti, baba Salome ni mtulivu, mwadilifu, mwenzake watu wanasema ana ‘katabia’ ka kutaka kuwa faragha na  wanaume wenzake bila kujulikana nini anakitaka katika usiri huo.
Madai zaidi yakawekwa wazi kwamba, baadhi ya watu walikwenda kwenye gesti walizokwenda wawili hao na kuulizia nini walikuwa wanakitaka, ndipo siri ikawekwa wazi kwamba wanatafuta chumba cha kupumzika kwa siku hiyo lakini kwa sheria za Jiji la Dar es Salaam (kama siyo za nchi nzima), wanaume wawili hawaruhusiwi kulala chumba kimoja.
Chanzo kikasema: Wambeya wakawaona wakiingia kwenye gesti ya tukio, wakapewa chumba. Ndipo wakakimbia nyumbani kwa baba Salome na kumtonya mkewe, mama Salome kwamba mumewe ameingia gesti.
MAMA SALOME AJA JUU, AMTAJA KIDAWA
Kichekesho zaidi kinaangushwa kwamba, baada ya kuambiwa mumewe amezama gesti, mama Salome ambaye ndiyo kwanza alikuwa amefika kutoka  kwenye mikopo ya Finca, alitoka mbio huku akisema anakwenda kumtoa sikio la kulia Kidawa akiamini mumewe ameingia gesti na mwanamke huyo.
“Watu walimwambia mumewe hakuingia gesti na Kidawa bali mwanaume mwenzake. Kwanza mama Salome aliomba asitaniwe juu ya hilo, lakini akasisitiziwa,” alisema mtoa habari huyo.
NJE YA GESTI, MAMA SALOME AFUNGUKA
Akizungumza kwa jazba na waandishi wetu nje ya gesti hiyo, mama Salome alisema kwamba alipata taarifa siku nyingi mumewe ana ukaribu na mwanaume huyo ambaye mitaani watu wanasema  anajihusisha na vitendo vya ushoga.
“Nilipozipata taarifa hizi sikuziamini, nilidhani ni Kidawa ndiyo kaingia gesti na mume wangu, maana Kidawa ndiye mbaya wangu,” alisema mwanamke huyo kisha akazama ndani ya gesti akiwa na polisi ambao haikujulikana walikotokea.
FUMANIZI TAAP!
Huku mumewe na mwanaume mwenzake wakiwa hawana hili wala lile kule chumbani, mlango ulisukumwa na kufunguka ambapo mwanamke huyo aliwakuta wawili hao wakiwa wameshavua baadhi ya nguo. Wote walishtuka kuona wameingiliwa!
“Yaani roho inauma sana, sijui ni kitu gani umekosa kwangu mpaka unakuja kwa mwanaume mwenzako jamani baba Salome,” alisema huku akilia mama Salome.
MWANAUME MMOJA AANGUA KILIO
Baada ya kugundua wamenaswa, mwanamke aliyekuwa na baba Salome aliangua kilio huku  akiomba kusamehewa kwa vile yeye ni mume wa mtu, lakini kilio chake hakikusikika kwa polisi ambapo waliwafunga pingu na kuwataka kuelekea katika kituo cha polisi.
MMOJA ALIA NA MAPAPARAZI
Wakati wakitoa maelezo kwenye kituo cha polisi, mwanaume aliyekuwa na baba Salome alijitambulisha kwa jina la  Julius Mwita, mkazi wa Devi’s Corner ana  mke na watoto wawili na aliwaomba sana mapaparazi wamhifadhi kwani wakwe zake wakimuona ‘itakula  kwake’.
“Jamani mapaparazi nipo tayari kwa lolote naomba sana tuyamalize hapahapa, mimi ni mume wa mtu, wakwe zangu wananiheshimu na kunithamini sana,” alisema Mwita.
Hata hivyo, pamoja na kilio hicho mwanaume huyo aliishia kuswekwa lupango na baadaye kuhamishiwa katika Kituo cha Polisi cha Chang’ombe kwa hatua zaidi........

 .....................................................................................................................................
 
majeruhi bd52e
Bomu lililorushwa na kuua watu watatu na kujeruhi wengine zaidi ya 60 kwenye Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi huko Arusha, inadaiwa lilitengenezwa kienyeji.
Wakati kukiwa na madai hayo, mazishi ya marehemu hao Regina Kurusei, (45), James Gabriel (16) na Patricia Joachim (9) yanatazamiwa kufanyika leo Olasiti, Arusha na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda anatarajiwa kuhudhuria.
Read more...

130509143438 david moyes 304x171 bbc nocredit 5bb78
Uongozi wa Old Trafford umetangaza rasmi na kuthibitisha kuwa David Moyes atakuwa meneja mpya wa timu hiyo kuchukua nafasi ya Sir Alex Ferguson atakayestaafu mwishoni mwa msimu huu: chanzo BBC



 ..  

No comments: