![]() |
| LEO TANDALE TUKUYU |
![]() |
| UJENZI WA BARABARA YA LAMI KUANZIA HOTEL YA LANDMARK KUELEKEA BUSOKELO IMEANZA KUJENGWA |
| UTAMADUNI WA WANYAKYUSA , NGOMA YA IPENENGA |
| DARAJA LA MUNGU KATIKA MTO KIWIRA |
![]() |
| ZIWA NGOSI LIPO KATIKA MLIMA RUNGWE |
![]() |
| MAPOROMOKO YA MAJI YA KAPOLOGWE |
![]() |
| HAPA KIJUNGU KATIKA MTO KIWIRA HAPA NI SEHEMU AMBAPO MAJI YA MTO KIWIRA |
| GES ASILIA INAYOPATIKANA RUNGWE NA KIWANDA KIPO RUNGWE |
| UTAFITI MPYA WA MAJI YA MOTO YANAYOPATIKANA RUNGWE KWA AJILI YA KUZALISHA NGUVU UMEME |
| NAELEKEA KUANGALIA MAJI YANAYOCHEMKA KATIKA MIAMBA |
| MR MASANJA AMBAYE NI AFISA UTUMISHI BUSOKELO NA KATIKATI NI MR PANJA KWA PAMOJA TUKISHANGAA KUONA MAJI YA MOTO HUKU YAKICHEMKA |
| WENYEJI HAPO WANAWEKA VIAZI NA MAYAI KWA MUDA MFUPI VINAIVA NA KULA |
| SEHEMU YA MIAMBA INATIPITIWA NA MAJI HAYO YANAYOCHEMKA NA UKIONJA YANA CHUMVI SANA |
| HAPA NI SEHEM UNAPOFANYIKA UTAFITI WA KUYAPATA MAJI HAYO KWA WINGI KWAAJILI YA KUZALISHA UMEME NA SHUGHURI ZINGINE, KWA TAARIFA ZA AWALI NIKUWA UTAFITI UMEFANIKIWA |
![]() |
| SEHEM YA MAJI YANAYOCHEMKA |
| KWA JOTO LILILOPO MAENEO HAYA LAZIMA UPUNGUZE NGUO |
![]() |
| SEHEMU OWEVU MAALUFU KWA WENYEJI KAMA KILAMBO HAPA WAFUGAJI WANALETA MIFUGO YAO ILI KUPATA MAGADI |
| KILA MTU ANAVUKA MTO KWA STAILI YAKE |
| NILIFANIKIWA KURUKA BILA YA KUKANYAGA MAJI |
ENDELEA KUFUATANA NAMI ILI KUJUA ZAIDI VIVUTIO 19 VINAVYOPATIKANA MKOA MPYA WA RUNGWE AMBAVYO HAVIPATIKANI DUNIANI KOTE.
.......................................................................................................................................................














No comments:
Post a Comment