Friday, June 21, 2013

MAELFU WAMZIKA GEORGE MWAIKELA USHIRIKA TUKUYU MBEYA

MSAFARA WA MAMA KIKWETE UKIELEKEA KATIKA MAZISHI YA GEORGE MWAIKELA USHIRIKA TUKUYU

GALI ILIYOMBEBA MAMA SALMA KIKWETE KUELEKEA WILAYANI RUNGWE TUKUYU


Aliyekuwa Mwenyekiti wa umoja wa wachimba madini wadogowadogo wilayani Chunya Marehemu George Mwaikela enzi za uhai wake.

Mwili wa George Mwaikela ukiwa nyumbani kwao Kijiji cha Ngujubwaje, Ushirika Tukuyu, tayari kwa mazishi.

Mke wa Rais wa Tanzania, Mama Salma Kikwete akiwasili msiba wa George Mwaikela akiwa pamoja na mhe Bakari Malima

Katibu Mwenezi waCCM mkoa wa Mbeya Bashiru Madodi akiwa Ridhiwani Kikwete pamoja na Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Mbeya Mama Mbwaga wakati wa mazishi ya George Mwaikela, kijijini Ngujubwaje, Tukuyu.

Kushoto ni mke wa marehemu George akiwa na mama Salama Kikwete kwenye misa ya mazishi

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mhe. Abbas Kandoro akiwa katika mazishi ya George Mwaikela, Kijijini Ngujubwaje Tukuyu.


Mhe. Malima akitoa salam zake za rambi rambi katika mazishi ya George Mwaikela kijijini Ngujubwaje, Tukuyu.

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mhe. Abbas Kandoro akitoa salam za mkoa wakati wa mazishi ya George Mwaikela kijijini Ngujubwaje, Tukuyu.

Hapa ndipo alipolala milele mpendwa wetu George Mwaikela. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana na lihimidiwe - Amen
...........................................................................................................................
 
Post a Comment