Monday, June 3, 2013

MBEYA NA AJALI TENA; AJALI MBAYA YA MAGARI IMETOKEA ENEO LA NANE NANE DARAJANI UYOLE MBEYA , YAJERUHI ABIRIA NA WATUSITA WAFARIKI NA SITA WAJERUHIWA NA WANAENDELEA NA MATIBABU KATIKA HOSPITAL YA RUFAA MBEYA

Kaimu kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya Ndugu Barakaeli Masaki


 GARI LA ABIRIA AINA YA HIACE IKIWA IMEGONGANA USO KWA USO NA GARI AINA YA LAND CRUISER
HIZI NI BAADHI YA MAITI ZILIZO OKOLEWA PUNDE BAADA YA AJALI KUTOKEA 
HIVI NDIVYO DALADALA HII ILIVYO HARIBIKA BAADA YA AJALI HIYO KUTOKEA 
DALADALA IKIWA IMEUMIA VIBAYA 


HILI NDILO ENEO AMBAPO AJALI HIYO IMETOKEA 
 TINGO WA DALADALA AKIWAANASHUSHWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA

 TINGO WA DALADA\LA AKIWA ANAPELEKWA KATIKA MSAADA WA HARAKA RUFAA
 MMOJA WA ABIRIA AKIKIMBIZWA KATIKA MSAADA WA HARAKA RUFAA
MWILI WA DEREVA WA DALADALA ALIYE FARIKI PAPO HAPO UKIPELEKWA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI RUFAA
.................................................................................................................................
Post a Comment