Friday, June 28, 2013

MJANE ANNA KIPESILE ANAOMBA MSAADA KWA CHOCHOTE KILE KWA AJILI YA MJUKUU WAKE NEEMA EFRAIMU MIAKA 15 AMBAYE TANGU AZALIWE HAJAWAHI KUTEMBEA, KUONGEA WALA KUKAA ZAIDI YA KULALA TU HUKU HUDUMA ZOTE AKIPATA AKIWA AMELALA HIVYO MAISHA KUWA MAGUMU KWA MJANE HUYU ANNA KIPESILE WA IGOGWE TUKUYU

MJANE ANA KIPESILE AKIWA OFISIN LEO (0754839957)
MJANE ANNA KIPESILE ANASEMA TATIZO LA NEEMA EFRAIMU AMEZALIWA NALO NA KWAKUWA MAMAYAKE HAKUTAKA KUISHI NA MTOTO WAKE ALIONDOKA KURUDI KWAO TANGA NA KWA BAADA YA MIAKA MIWILI ALIFARIKI DUNIA. BAADAYE BABA YAKE MZAZI AMBAYE NI MWANAE NA MAJANE KIPESILE ALITOROKA NA HADI SASA HAJULIKANI ALIPO HIVYO TANGU MUMEWE AFARIKI HANA MSAADA WOWOTE WA KUMTUNZA MTOTO NEEMA AMBAYE SASA NEEMA ANA UMLI WA MIAKA 15 NA HATEMBEI, HAONGEI HAKAI ZAIDI NI  KULALA TU HIVYO KIUKWELI " Neema ikutamigwa fijo papo ambapapi mbalimbopile bosa po ndinagwe jujune ngusuma kwa Kyala mundule kokosa kala fijo nuntwale kukipatala umwisukulu gwangu" MJANE KIPESILE AKIONGEA KWA KINYAKYUSA OFISIN LEO MAANA YAKE " Neema anaumwa sana na wazazi wake wamtoroka na kuniachia mimi mjane hivyo naomba sana msaada wa hari na mali kwa chochote hata pia kama kumpereka Hospital mjukuu wangu"

MJANE KIPESILE AKINIELEZA JINSI MJUKUU WAKE NEEMA ANAVYOPATA SHIDA SANA NAYEYE KUTOKUWA NA MSAADA WOWOTE HATA WA KUMPELEKA HOSPITAL KWAKUWA HANA UWEZO HUO, HATA CHAKULA KWAKWE KUKIPATA NI SHIDA ZAIDI YA WASAMALIA WEMA WANAOMPA CHOCHOTE HIVYO OMBI LAKE KWA WATANZANIA NA WASAMALIA WEMA NI KUONA MJUUKUU WAKE ANAWEZA KUTIBIWA HOSPITAL YEYOTE ILE KULINGANA NA MTU ANAYEWEZA KUMSAIDIA PIA MJANE KIPESILE ANASEMA KUWA MALAZI YALIYOPO YUMBANI HAPO NI SHIDA CHAKULA NI SHIDA NA HASA LINAPOFIKA SUALA LA KUCHOTA MAJI KWAKUWA YANAPATIKANA MBALI NA KWAKE HIVYO MJANE KIPESILE ANAOMBA MSAADA KWA YEYOTE ANAYEWEZA KUSAIDIA NA MUNGU AJUAYE MAMBO YA SIRIN ATAKUBARIKI

MJANE KIPESILE AKIWA NA MJUKUU WAKE NEEMA EFRAIMU (15) NYUMBANI KWAO MTAA WA IGOGWE TUKUYU MJINI  MTOTO NEEMA TANGU KUZALIWA KWAKE HATEMBEI WALA HAONGEI HATA KUKAA HAWEZI ZAIDI YA KULALA TU HIVYO INAMUWIA VIGUMU MJANE HUYU KUJISHUGHURISHA NA KITU KINGINE ZAIDI YA KUANGALIA MAISHA YA MJUKUU WAKE NEEMA.
HII NDIYO BARUA ANAYOTEMBEA NAYO MJANE HUYU ILI KUPATA RIZIKI JAPO AISHI NA MJUKUU WAKE NEEMA

TUKIAGANA NA MJANE ANE KIPESILE NIMEMUAHIDI KUMTEMBELEA NYUMBANI KWAKE NA NIKAMUONE NEEMA NA KWAPAMOJA TUTAENDELEA KUZIONA PICHA HUMU NDANI NA KAMA ATAPIGIWA SIMU NA MTU ATAPOKEA MAANA SASA NAJUA TUTASHIRIKIANA KUONA KUWA MJANE HUYU ANAPATA NDUGU WATAKAO MSAIDIA KWA HARI NA MALI. NAMBA ZA MJANE KIPESILE NI 0754 839957. ASANTE SANA NDUGU ZANGU
 KAMA UTAKUWA UMEGUSWA KWA CHOCHOTE KWA AJILI YA KUMSAIDIA MJANE HUYU NA MJUU KUU NEEMA BASI UNAWEZA KUONGEA NAYE KWA SIMU YAKE 0754 839957. NA KAMA UTAPENDA PIGA KWANGU SIMU ILIKUPATA MAELEZO ZAIDI NA KAMA UNA CHOCHOTE TUMA KWA SIMU NO 0754881456 NAMBA YANGU HII NA USEME KINUNULIWE ILI NIKIWASILISHE KWA WAHUSIKA NA PICHA TUTAKUWA TUNAZIONA HUMU NDANI. ASANTENI KWA KAZI YA KIJAMII    MUNGU NA ATUBARIKI.Post a Comment