Wednesday, June 19, 2013

MWANDISHI CHANNEL TEN SHINYANGA CHARLES HILILA AMEFARIKI USIKU WA KUAMIA LEO

TAARIFA zinasema kuwa mwandishi wa habari wa Kituo cha Channelten Charles Hilila (Kulia) amefariki dunia  saa saba usiku katika Hospitali ya mkoa wa Shinyanga ambako alikuwa amelazwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu ya homa ya Malaria.
..............................................................................................................
Post a Comment