Monday, July 8, 2013

77 TUKUYU WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA YASHEREKEWA KWA NGOMA YA ASILI

MKUSANYIKO WA WAKAZI WA TUKUYU WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA WAKISHUHUDIA NGOMA ZA ASILI KWA WANYAKYUSA SIKU YA SIKUKU YA SABASABAAMBAYO NI SIKU YA WAKULIMA IKIWA NI KUSHEREKEA MAVUNO YA MWAKA

NGOMA ZA ASILI ZA KABILA LA WANYAKYUSA MAARUFU KAMA LING"OMA

WAKAZI WA TUKUYU NA VITONGOJI VYAKE WAKISHUHUDIA NGOMA ZA ASILI

SIASA NI SIASA LAKINI WAKUTANAPO KWENYE BURUDANI HAPO NI UTANZANIA, MWENYE TAI NYEKUNDU NI DIWANI MWASAKILALI (NCCR)WAKIPONGEZANA NA DIWANI MADODO (CCM) KATIKA HAFLA YA KUANGALIA NGOMA ZA ASILI ZA KINYAKYUSA

MZUKA ULIPANDA KWA MASHABIKI NA KUMNYANYUA MPIGA NGOMA  CHEZEA WANYAKYUSA WEWE

BURUDANI TOSHA SANA KWA STAIL ZA KUCHEZA NA JINSI YA KUPIGA NGOMA

ITAGATA WAINGIE.... BADO KUBABA KWANI MANI MWATUKWANYIA NYIEEEE


NGOMA ILIYOCHEZWA NA VIJANA CHINI YA UMLI WA MIAKA 25 ILIKUWA KIVUTIO KIKUBWA SANA KATI YA NGOMA 5 ZILIZOKUWEPO HAPO

WAZUNGU WAKABORESHA IKAWA TARUMBETA  WANYAKYUSA WANATUMIA TARUMBETA ZA ASILI

KABLA YA NGOMA KUINGIA KUCHEZA WAZEE WANATANGULIA NA KUANGALLIA MAZINGIRA KWANZA

PAMOJA NA SUTI USIONE ANAIGIZA MZEE HUYU YUPO KAZIN NA KWA ASILI YA NGOMA HIZI BILA YA WAZEE KAMA HUYU MAMBO HAYAENDI KABISA

KABASELE AKIPATA DAWA YA BABAHUKU AKISHEREKEA SIKUKU YA SABASABA


BAADA YA KUPATA VILOBA VYA KUTOSHA GALI LIKAZIMA HAPO HAKUNA MAELEWANO HATA KUNYANYUKA ALISHINDWA

KIT HAPO NDIO PENYEWE KWA WANYAKUSA

WATU WALITULIA NA KUPATA BARIDI MOTO KUHU WAKIBADILISHANA MAWAZO

MZEE MWAIKELA AKICHANGAMSHA AKILI KWA VILOBA

SHUGHURI NZIMA YA BURUDANI IKIONGOZWA NA MC KABIGI

HAFLA HII YA NGOMA ZA ASILI ILIANDALIWA NA UONGOZI WA KIVANGA TUKUYU MJINI WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA

Post a Comment