| NURU ALEX AKIWA NA FURAHA KATIKA USIKU WAKE WA KUFANYIWA KICHENPARTY KATIKA UKUMBI WA CCM TUKUYU MJINI |
| NURU ALEX AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA NDUGU NA JAMAA WALIO ANDAA HAFLA YAKE YA KICHENPARTY ILIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA CCM TUKUYU MJINI |
...........................................................................................................................................................
SAFARI YA ZAWADI MAFOLE MAFANYAKAZI WA HALMASHAURI YA RUNGWE KUELEKEA HARUSI YAKE YAANZA KWA KUANGWA NA KUFUNDWA NA WAMAMA WA TUKUYU
| ZAWADI MAFOLE AKIWA NA FURAHA SIKU YA YAKE YA KICHENPARTY ALIYOFANYIWA NA WAFANYAKAZI WENZAKE WA HALMASHAURI YA RUNGWE TUKUYU |
| DADA ZAWADI AKIWA NA MPAMBE WAKE |
| ZAWADI AKIWA NA NDUGU ZAKE PAMOJA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA RUNGWE KABLA YA KUINGIA UKUMBINI |
| SHEREHE NI KUCHEZA KULA NA KUNYWA |
| KATIKA NI MC SEKILE AKIWA NA BAADHI YA WATUMISHI WA WILAYA YA RUNGWE WAKIONGOZWA NA DADA ELIZA WA PILI KUSHOTO BAADA YA KUTOA ZAWADI YAO KWA ZAWADI MAFOLE |
| ZAWADI AKIPATA ZAWADI YA JIKO |
| WALIPENDEZA SANA USIKU HUU |
No comments:
Post a Comment