KATIKATI MWENYEKITI MHE, A MWAKASANGULA WA HALMASHAURI YA RUNGWE AKIFUNGUA KIKAO CHA BALAZA LA MADIWANI CHA ROBO MWAKA NA KUUANZA MWAKA WA FEDHA 2013/2014 |
WAJUMBE WA BARAZA LA MADIWANI |
BAADHI YA WATENDAJI WA HALMASHAURI YA RUNGWE |
KULIA NI ENZI SEME AFISA UTAMADUNI WA HALMASHAURI YA RUNGWE AKIWA MAKINI KATIKA KIKAO CHA ROBO MWAKA CHA BARAZA LA MADIWANI |
KUPITIA CHAMA CHA NCCR MHE, ANYIMIKE MWASAKILALI AKIJINADI KATIKA NAFASI YA KUGOMBEA MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA RUNGWE |
WAKATI WA KUPIGA KURA |
KURA ZIKAHESABIWA NA KAMATI YA UCHAGUZI NA WASIMAMIZI WA WAGOMBEA |
MHE EMMANUEL MWAIJANDE AKACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA KAMATI YA ELIMU, AFYA NA MAJI |
MHE, EZEKIA MWALUSAMBA AKACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA UCHUMI UJENZI NA MAZINGIRA |
KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI KIMEFANYIKA KATIKA UKUMBI WA JOHN MWANKENJA ULIOPO KATIKA JENGO LA ZAMANI LA HALMASHAURI YA RUNGWE MKOANI MBEYA |
................................................................................................................................
WANAFUNZI WA TEOFELO KISANJI(TEKU) JIJINI MBEYA WAGOMA WAKISHINIKIZWA WALIPWE PESA ZAO ZA RESEARCH ZAIDI YA MIL.100 LEO..
Wanafunzi wa Chuo kikuu cha TEKU wakiwa wanajikisanya kusikia uongozi wa chuo uatoa Tamko gani, huku wakipiga kelele
Wakati
Vice Chancellor wa TEKU akionge nyuma Dr. Tuli Kazimoto huku nyuma
waandishi wa Habari walikuwa wakikatazwa wasichukue habari
Depute Vice Chancellor Academic affairs akiwa katika kikao kifupi na wanafunzi nje ya ofisi
Hili ndilo Tamko Lililo leta utata kwa wanachuo hao wanadai pesa zao za Research
Baadhi ya Mabango waliyo kuwa wameyaandika
Vice
Chancellor wa TEKU Dr. Tuli Kazimoto akiongea na wanachuo wa TEKU na
kuwasihi wawe wapole wakati swala lao linafanyiwa kazi
Mwanafunzi huyo ambaye jina lake halikutambulika Mara Moja alichafua Hewa Baada ya Kuonekana anatetea Tamko la Utawala
Mmoja wa wanachuo wa TEKU akieleza kwa sababu gani wao wanataka pesa hizo
Vice Chancellor wa TEKU Dr. Tuli Kazimoto akitaka weka Tamko ambalo
baadae lilichanwa na wanafunzi hao na kusema ni upuuzi kuwekewa agizo
hilo, na kuendelea kudai pesa zao .
Muhasibu
wa Chuo kikuu cha TEKU Jeremea Mwakanyerenge akitoa maelezo kuhusu
pesa za wanachuo hao ambapo aliwakoroga kabisa na kuwafanya watake pesa
zao leo leo
..................................................................................................
MAZISHI YA MGANGA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM DKT JUDITH KAHAMA MARO KATIKA MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya Msiba wa marehemu
Dkt, Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa
marehemu Upanga jijini Dar es salaam, leo Julai 11, 2013
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano w a Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akimfariji baadhi mume wa marehemu, Profesa Maro, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam, leo Julai 11, 2013.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa
marehemu Dkt. Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani
kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam leo Julai 11, 2013.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa na baba wa marehemu Sir George Kahama sambamba na viongozi
wengine wakati walipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam leo Julai 11, 2013.
Gari lililobeba mwili wa marehemu likiwasili katika makaburi ya Kinondoni kwa mazishi
Profesas Maro akiwasili makaburini
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa mkono wa pole kwa mfiwa
Mama Salma Kikwete akitoa mkono wa pole
Mama Salma Kikwete akimpa pole binti wa marehemu
Rais Kikwete akitoa pole kwa mtoto wa marehemu
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa pole kwa wafiwa
Pole kwa wafiwa
Pole kwa wafiwa
Sehemu ya waombolezaji
Rais Kikwete akiongea na Profesa Maro, mume wa marehemu
Waombolezaji wakiwa mazishini
Sehemu ya waombolezaji
Watoto na ndugu wa marehemu
Sala ya mazishi
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa na ndugu wa marehemu
Padri Paul Haule akiongoza mazishi
Profesa Maro akiweka udongo kaburini
Wazazi wa marehemu wakiweka udongo kaburini
Rais Kikwete na Mama Salma wakiweka udongo kaburini
Fred Maro akiweka udongo kaburini
Babu na bibi wakiweka udongo kaburini
Ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu mazishini
Padri Paul Haule akiongoza mazishi
Profesa Maro akiweka shada la maua kaburini
Watoto wa marehemu wakiweka shada la maua
Wazazi wa marehemu wakiweka shada la maua
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua kaburini
Mama Anna Mkapa akiweka shada la maua Kaburini
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadick akitoa heshima baada ya kuweka shada la maua kaburini
Babu na bibi wakiweka shada la maua kaburini
Sehemu ya waombolezaji
Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii Dkt Hussein Mwinyi akiweka shada
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akiweka saha la maua
Ndugu wa marehemu wakiweka shada la maua
.......................................................................................................
KAMPUNI YA HIGHLAND SEED GROWERS LTD YALETA NEEMA KWA WAKULIMA WA MAHINDI VIJIJINI.
Wakala Mkuu wa Usambazaji wa mbegu za Highland Seed Growers, Tito Tweve.
Wakala
wa Usambazaji wa mbegu za Highland Seed Growers, Award Mpandile
akizungumza jambo na wakulima wa Mahindi kuhusu uzuri wa mbegu hizo
vijijini.
Meneja
Masoko wa Kampuni ya kuzalisha mbegu ya Highland Seed Growers John
Mbele akitoa elimu kwa Wakulima wa kata ya Ikuwo jinsi mbegu hizo
zinavyostahimili hali ya hewa na mahitaji ya watanzania.
Wakulima
wa Kata ya Ikuwo wakifuatilia kwa makini elimu juu ya Mbegu ya Mahindi
iliyofanyiwa utafiti na Chuo cha Kilimo cha Uyole aina ya UH 615.
Diwani wa Viti Maalum kata ya Ikuwo Tuli Mwasanga akigawa mbegu kwa Wakulima
Mkulima akitoa maoni yake kuhusu mbegu hizo
Afisa Masoko akiwa katika picha ya pamoja aada ya kumaliza mkutano
Wakulima wakigawiwa mbegu kwa ajili ya majaribio
Meneja Mauzo na Wakala wa mbegu wakiangalia shamba la mfano lilivyozalisha vizuri
Afisa kilimo wa kata ya Ikuwo Olimpa Ukwama akizungumza jambo
Diwani wa Kata hiyo Antony Sanga
Wakulima wakisikiliza kwa Makini .
Katika kuhakikisha Sera ya
Serikali ya Kilimo kwanza inafanikiwa kwa Vitendo, Kampuni ya Kusambaza Mbegu
Mbali mbali zinazofanyiwa utafiti na Chuo cha Kilimo cha Uyole Jijini Mbeya
imeanza kuwasambazia Wakulima wa Vijijini mbegu bora za Mahindi aina ya UH 615.
Neema hiyo imeanza kuwanufaisha
Wakulima wa Wilaya za Makete Mkoani Njombe, Rungwe na Halmashauri ya Jiji la
Mbeya Mkoani Mbeya baada ya Kampuni hiyo kusambaza mbegu ambazo wakulima
wamezisifu kuwa zinazalisha mazao mengi tofauti na mbegu zingine.
Akizungumza na Wakulima wa
Kijiji cha Ikuwo Wilayani Makete katika Mkutano ulioandaliwa kwa ajili ya kujua jinsi wakulima wanavyokumbana na
changamoto za Mbegu hizo mpya Wakala wa Usambazaji wa Mbegu za Highland Growers
Ltd, Award Mpandile amesema lengo la kutengenezewa mbegu hizo ni kukabiliana na
hali halisi ya hali ya Hewa ya asili ya Mtanzania.
Amesema Mbegu nyingi
zinazolimwa na Wakulima haziwasaidii kutokana na kutoa Pumba nyingi badala ya
Unga pamoja na kushindwa kustahimili magonjwa mbali mbali hali inayopelekea
Wananchi wengi kushindwa kupata maendeleo.
Kwa upande wake Meneja Masoko
wa Kampuni hiyo, John Mbele amesema ni
kampuni chache zinazotengeneza bidhaa na kuwauzia watumiaji lakini baadaye
wakaenda kuwauliza wananchi namna wanavyoipokea na matunda yake pamoja na
changamoto.
Baadhi ya Wakulima wa Kijiji
cha Ikuwo wamesema mbegu zilizoletwa na Kampuni hiyo ni bora kutokana na
uzalishaji wake kukidhi haja na kuwaongezea kipato.
Wamesema unapovuna Mahindi
machache lakini unga unakuwa mwingi tofauti na kiwango hali kadhalika ladha ya
unga wake pamoja na mahindi yenyewe ambayo mara nyingi huishia kuchoma na
kuwaomba wasambazaji kuwaisha Mbegu hizo kwa wakati ikiwa ni pamoja na
kuwatafutia soko la uhakika kutokana na kujikita katika uzalishaji.
Aidha wakulima hao zaidi ya 30
walizawadiwa kila mmoja Kilo mbili za mbegu za mahindi kwa ajili ya mfano ili
wapande na kujionea manufaa na ubora wa mbegu hizo kabla ya kuanza kuuziwa ili
wabadilishe mfumo kutoka kutumia mbegu za zamani na kutumia mbegu za kisasa
zilizofanyiwa utafiti.
Picha na Mbeya Yetu
No comments:
Post a Comment