Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe akisaidiwa na Jaji Mkuu Mhe
Mohamed Chande Othman wakifungua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya
Bukoba leo Julai 25, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua pazia kuzindua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo Julai 25, 2013Wananchi waliojitokeza kwa wingi katika ufunguzi huo wakiondoka baada ya uzinduzi huo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa baada ya kufungua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo Julai 25, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa baada ya kufungua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo Julai 25, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa mahakama
nchini mara baada ya kufungua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya
Bukoba leo Julai 25, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiondioka baada ya kufungua rasmi jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba leo Julai 25, 2013
MAADHIMISHO KUMBUKUMBU ZA MASHUJAA WALIOPIGANA VITA VYA KAGERA YAFANYIKA MKOANI KAGERA
Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange pamoja
na Wakuu Wengine wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwemo Kamishna
Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja alipokuwa akitembelea sehemu
walipozikwa Mashujaa wa Vita vya Kagera leo Julai 25, 2013 katika Kikosi
cha Jeshi cha Kaboya, Mkoani Kagera(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la
Magereza).
...............................................................................................................
MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA YAFANA MBEYA
Mkuu wa wilaya ya Chunya Deodatus Kinawiro akiweka mkuki na ngao kuwakumbuka mashujaa waliokufa vitani |
Mwakilishi wa mstahiki meya wa jiji la mbeya akiweka shada lake |
Mzee
Ernest Waya akiweka upinde na mshale kuwakumbuka wenzake aliokuanao vitani enzi
hizo...
|
Chifu Lyoto alikuwepo kuweka shada kuwakumbuka mashujaa |
Viongozi mbali mbali wa dini waliwaombea duwa mashujaa wetu |
Mzee Ernest Paulo Waya
aliyepigana vita kuu ya pili vya Dunia alikuwepo kuwakumbuka wenzake Picha na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment