Monday, July 1, 2013

WAFANYA BIASHARA WA MABUCHA YA NYAMA WA MJINI TUKUYU WILAYANI RUNGWE WAMEGOMA KUUZA NYAMA LEO KUTOKANA NA KUPANDA KWA GHARAMA ZA USHURU WA MACHINJIO TOKA SH 1000 HADI KUFIKIA 4500/- KWA NG"OMBE MMOJA

TUKUYU LEO NA MUONEKANO WA MLIMA RUNGWE AMBAO NI WA TATU KWA UREFU TANZANIA

SOKO LA TANDALE LEO
OFISI YA HALMASHAURI YA RUNGWE


LEO WAFANYA BIASHARA WA NYAMA WANACHEZA DRAFT OFSIN KWAO BAADA YA KUTOCHINJA NYAMA YA AINA YEYOTE KUTOKANA NA KUPANDA KWA USHURU


BUCHA ZIMEFUNGWA WATU WANATABIIKA KUPATA MBOGA

HIZI NI NYAMA ZILIZOBAKI JANA
 ..............................................................................................................................................


 OBAMA APOKELEWA KWA SHANGWE NA WATANZANIA
 
 
 

KILA MTU ALIKUWA ANAJITAHIDI KUJIONEA JINSI OBAMA ANAVYOWASIRI TANZANIA

BIASHARA HAPA ILISIMAMA KWA MUDA

 KILA MTU ANACHUKUA TUKIO KWA KUTUMIA KIFAA CHAKE ILI APATE KUMBUKUMBU
MZEE AKISHUHUDIA UJIO WA OBAMA MUDA HUUm2 d7dcc
m7 ea304
m11 dca13

MAUAJI YA KUTISHA KWA VICHANGA MKOANI MBEYA: KIMOJA CHATUPWA CHOONI NA KUKANDAMIZWA NA JIWE, KINGINE CHATUPWA MTO MITA JIJINI MBEYA

KICHANGA KIKIWA KIMEKUTWA KIMETUPWA KATIKA MTO MITA ULIOPO ENEO LA MABATINI
WANANCHI  MBALIMBALI WAKIWA WANASHUHUDIA KICHANGA HICHO


ASKARI WA JESHI LA POLISI AKIOPOA MTOTO HUYO KUTOKA MTONI
ASKARI WA JESHI LA POLISI AKIWA ANAKIWEKA KICHANGA HICHO NDANI MFUKO BAADA YA KUKITOA KUTOKA MTONI
WATOTO WAKIWA WANASHANGAA KICHANGA AMBACHO KILIOPOLEWA KUTOKA MTONI
 HUYU NDIYE MTOTO ALIYE BAINI  KUTUPWA KWA KICHANGA CHOONI ENEO LA STERIO KATA YA MAANGA JIJINI MBEYA
 MWENYEKITI WA MTAA WA MAANGA MARY MWANSANKINGA AKIWA HAAMINI TUKIO LILILO MTAANI KWAKE
 ASKARI WA JESHI LA ZIMA MOTO NA UOKOAJI WAKIHANGAIKA JUU  YA KUOPOA KICHANGA HICHO KUTOKA CHOONI
 BAADHI YA MASHUHUDA WAKISUBIRIA KUONA KITOTO KIKIOPOLEWA
 ASKARI  WAMEFANIKIWA KUKITOA KITOTO HICHO CHOONI NA KUBAINI KUWA NI  CHA JINSI YA KIUME
 BAADHI YA WAKAZI WAKISHANGAA BAADA YA KITOTO KUOPOLEWA
 ASKARI WA ZIMAMOTO BAADA YA KUOSHA KICHANGA HICHO AMBACHO  KILIZALIWA KATIKA UMRI WAKE
 WANANCHI WAKILIA KWA UCHUNGU BAADA YA KUSHUHUDIA KICHANGA HICHO BAADA YA KUOPOLEWA 
 JESHI LA POLISI PAMOJA NA ASKARI WA ZIMA MOTO WAKIONDOKA ENEO LA TUKIO
HII NI NYUMBA AMBAMO MTOTO ALITUPWA CHOONI , WATU WANAJIULIZA WENGINE WANAANDAMANA KWENYE NYUMBA  ZA MAOMBI NA WAGANGA KUTAFUTA WATOTO WENGINE WANAWATUPA BILA YA KUWA NA HURUMA WALA HOFU YA MUNGU. 

*******
Post a Comment