Tuesday, August 20, 2013

DR TUNTUFYE AAGWA KIFAMILIA KWENDA MASOMONI DENMARK

DR TUNTUFYE JOEL MWAMUGOBOLE

DR EPIPHANIA MICHAEL
BUPE MWAMUGOBOLE AKIWASHUKURU WAGENI WAALIKWA KWA KUFIKA KUSHIRIKIANA KUMUAGA DR TUNTUFYE KWA SAFARI YAKE YA KIMASOMO CHINI DENMARK


MAMA KIFWAMBA MWAMUGOBOLE AKIWASHUKURU NDUGU NA JAMAA WALIO FIKA NYUMBANI KWAKE KUSHIRIKI KUMUAGA DR TUNTUFYENA UJENZI WA KABURI LA MUME WAKE MPENZI MCH MWAMUGOBOLE


MUDA WA CHAKULA


MCH N.F. MWALWEGA AKITOA NENO LA SHUKRANI KWA WAGENI NA BARAKA ZA SAFARI KWA  DR TUNTUFYE NA KUMTAKIA MASOMO MEMA

PICHA YA PAMOJA

 DR TUNTUFYE NA DR EPIPHANIA TUKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA

NIPO NA MAMA KIFWAMBA MWAMUGOBOLE

UJENZI WA KABURI LA MCH MWAMUGOBOLE UNAENDELEA

Post a Comment