Tuesday, August 20, 2013

SIMON SONELO NA ASIGELE MPATE WAUAGA RASM UFULUMBU

SIMON SONELO NA ASIGELE MPATE WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA BAADA YA KUUAGA UFULUMBU NA SASA NI MKE NA MUME
HATIMAYE SASA NI MR & MRS SIMON SONELO WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAZAZI WAO BAADA YA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA KATIKA KANISA LA MORAVIANI KARIAKOO DSM
MR & MRS SIMON SONELO WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WANAKWAYA WENZAKE WA UHURU MORAVIANI KARIAKOO

SIMON SONELO KUSHOTO AKIWA NA WAPAMBE WAKE SIKU YA HARUSI
WWW.KINGOTANZANIA NA WADAU WOTE  TUNAWATAKIA MAISHA MEMA NA YENYE FURAHA NA AMANI MAISHANI MWENU NA MUNGU AWABARIKI
Post a Comment