Sunday, August 18, 2013

JOYCE BANDA AWA M/KITI MPYA WA SADC;banda_2357586b_c06e2.jpg
Rais wa Malawi Joyce Banda amechaguliwa kuwa M/kiti mpya wa SADC atakayeshika hatamu za uongozi kwa kipindi cha mwaka mmoja baada ya Rais wa Msumbiji Almando Gwebuza kumaliza muda wake, Katika hotuba yake Rais Joyce Banda aliyoitoa huko jijini Lilongwe alimsifu Rais JM Kikwete kwa juhudi zake za kutatua migogolo ktk nchi nyingi Barani Afrika, pia ameitaka nchi ya Madagaska kumaliza matatizo yao kabla ya kufanyika uchaguzi mwaka huu, Rais Banda aliwataka viogozi wenzake kupigana na adui masikini ili bara la Afrika lisonge mbele. Mungu bariki Afrika na watu wake

DSC 0140 2f148

Meno ya Tembo yakamatwa uwanja wa ndege DSM..;


Menoyatembo1Copy_5dccc.jpg
Kamanda wa Polisi wa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dares Salaam, ndugu Katto akionesha meno ya Tembo yaliyokamatwa yakiwa yametengenezwa mithili ya bangili tayari kwa kusa.Juzi Agost 16 mwaka huu majira ya saa 10:46 jiono polisi jijini Dar walimkamata raia wa Vietnam aitwaye Nguyen Fanichati akiwa na meno ya Tembo, Tukio hili lilitokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Meno hayo yaliyokuwa yamefichwa ndani ya sanduku yalitajwa kwa ujumla kuwa na zinathamani ya Tsh. milioni


DSC 0143 d3310
Post a Comment