Wakazi mbalimbali kutoka Mkoa wa Mbeya na Mikoa ya Jirani wakiwa katika Banda la Rungwe Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mbeya.
Kutoka
Kushoto ni Katibu Mwenezi CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu. Bashiru Madodi alipo
tembelea Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mbeya akiwa pamoja na
wahusika wa Banda hilo la Busokero . Kutoka kulia ni Judidh Mrema Afisa
kilimo, Huseni Mwasipyelele Mkulima na Mfugaji,Ephraim Damian Mkulima
pamoja na Sikujua Ndombo Mkulima
Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Mbeya akiongea na wajasiliamali katika Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe alipo watembelea.
Mataifa Mbalimbali walikuwepo katika Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mbeya.
Katibu
Mwenezi wa Mkoa wa CCM Mkoa wa Mbeya Bashiru Madodi akiwa pamoja na
wajasiliamali wanaotengeneza vitu mbalimbali kutoka kulia ni
Atuganile,Betty na Nisile wote wajasilia mali.
Kutoka
Kushoto ni Bi. Jamilah (Mteja) , Bi. Mary Kalisinje Katibu wa CCM
Wilaya ya Chunya, Ndugu Bashiru Madodi Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa
Mbeya na Mary Nzowa.
kutoka
kulia ni Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu Bashiru Madodi ,
Yusuph Godwin Mjasiliamali, Juma Mwamajuja Mkulima na Mjasiliamali
pamoja na Mzee Robert Mbamba Msindikaji wa Bidhaa mbalimbali.
wakionesha mazao mbalimbali yanayo patikana katika Banda la Halmashauri
ya Wilaya ya Rungwe Mbeya.
Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Mbeya Ndugu Bashiru Madodi akiwa katika sehemu inayo onesha zao aina ya Ndizi.
Katibu
Mwenezi wa Mkoa wa Mbeya Ndugu Bashiru Madodi akimwangalia Ng'ombe wa
Maziwa anayetoka katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mbeya.
Kutoka
kushoto ni Japhet Njawala Afisa mifugo Wilaya ya Rungwe , Katibu
Mwenezi wa CCM Mkoa wa Mbeya Bashiru Madodi na Dr. Lawrence kibona
ambaye ni Mganga wa Mifugo Wilaya ya Rungwe
Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Mbeya Bashiru Madodi akiwa katika bustani ya Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mbeya.
...........................................................
NANE NANE MBEYA : VIBAKA WAWILI WANAOSADIKIKA KUTOKA MJI MDOGO WA TUNDUMA WAPATA KICHAPO KIKALI , BAADA YA KUJARIBU KUIBA SIMU!
Mgambo wa jiji akiwachukua vibaka hao kuwapeleka katika kituo kidogo cha Polisi Nane nane
Vibaka hao wakipelekwa Kituo kidogo cha Polisi baada ya kushindwa zoezi lao la Kuiba Simu ....
Picha zote na Mbeya yetu Blog
No comments:
Post a Comment