Tuesday, August 13, 2013

SIKU YA BARAKA ZA MUNGU KWA HANSI & JUDITH KWA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA KATIKA KANISA LA KKT SUMBAWANGA MJINI

HANSI & JUDITH WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA NA AMANI BAADA YA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA KATIKA KAKISA LA KKT SUMBAWANGA

KULIA NI JOHAN MWASAJONE NA SAMIRA MWASAJONE WAKIWA NA FURAHA KUFIKA TANZANIA KWA MALA YAO YA KWANZA NA KUSHUHUDIA HARUSI YA BABA MDOGO WAO HANSI MWASAJONE. JOHANI NA SAMIRA WANAISHI NA WAZAZI WAO  MR & MRS BENNY MWASAJONE NCHINI GERMANI


KUSHOTO NI KAKA YETU BENNY MWASAJONE AKIWA NA FURAHA YA KUSHUHUDIA HARUSI YA HANSI WA KWANZA KULIA NI MTOTO WA BENNY NA WA NNE  PIA

MR & MRS HANSI WAKIWA NA NYUSO SA FURAHA

HANSI MWASAJONE NI MWALIMU NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA WALIMU SUMBAWANGA NA MKEWE JUDITH NI MWALIMU PIA. KINGOTANZANIA INAWATAKIA MAISHA MEMA YA NDOA

WASIMAMIZI WA HARUSI  BARAKA MWALWEGA NA NURU MWASAMPETA


MARY  KINGO NASHEMEJI  ZAKE KULIA ELIAS MWASAJONE NA KUSHOTO UWEZO MWALWEGA 

Post a Comment