Thursday, August 15, 2013

SIKU YA FURAHA NA BARAKA KUTOKA KWA MUNGU KWA MATRIDA AKIAGWA NA NDUGU ,JAMAA NA MARAFIKI KUELEKEA SAFARI YAKE YA NDOA

MATRIDA NDELWA AKIWA NA USO WA FURAHA


MATRIDA BAADA YA KUFANYIWA SHEREHE YA KUAGWA KATIKA UBAROZI TUNAPOKAA SASA ANAELEKEA UKUMBINI KWA SHEREHE PIA YA KUMUAGA

......................................................................
 LEO NIMETEMBELEA SHULENI MADARAKA SHULE YA MSINGI WILAYANI RUNGWEANAPOSOMA KWA SASA MWANGU CAROLINE KINGO NA KUSHIRIKI MKUTANI WA WAZAZI

CAROLINE AKIWA DARASANI NILIOMBA ANIONYESHE JINSI ALIVYOFANYA HESABU, NAMSHUKURU MUNGU ANAYEMFUNGUA AKILI NA KUMJAZA HEKIMA NA UPENDO AENDELEE KUMCHA MUNGU

CAROLINE KINGO AKIWA ANAELEKEA DARASANI

MWL MBWILO MWALIMU WA CAROLINE KIUKWELI NAMSHUKURU SANA HUYU MAMA YANGU KWA MALEZI YA MTOTO WANGU NA WANAFUNZI KWA UJUMLA

MWENYEKITI AKIENDESHA KIKAO CHA WAZAZI SHULENI MADARAKA TUKUYU MJINI

PAMOJA NA CHANGAMOTO ZA MASOMO NA UMLI WA WATOTO WANAOANZA SHULE LAKINI SHULENI HAPA WALIMU WAKO MAKINI SANA HADI KUPANDA KWA UFAURU WA WATOTO NA HASA KUSIMAMIA DARASA  LA AWALI ILI WATOTO WANAPOANZA DARASA LA KWANZA WANAJUA KUSOMA NA KUANDIKA NA KWA MATOKEA YA MWAKA JANA 2012 DARASA LA SABA KATI TA WATOTO 87 WALIFAURU WATOTO 85, AMBAO HAWAKUCHAGULIWA KUENDELEA SEKONDARI NI  WATOTO  WAWILI TU.

Post a Comment