Thursday, September 12, 2013

KANISA LA MORAVIANI JIMBO LA KUSINI LIMEANZA UWEKEZAJI WA ZAIDI YA MILION MIA SITA KWA KUJENGA CAMP YA VIJANA KATIKA MLIMA KILAMBO WILAYANI KYELA ILI VIJANA KUPATA SEHEMU YA KUPATA MAFUNZO MBALIMBALI YANAYOTARAJIWA KUAZISHWA HAPA KILAMBO HILL

MUONEKANO WA MSITU WA ASILI WA KILAMBO HILLUNAVYOONEKANA KWA MBALI MSITU UNAOTUNZWA NA KANISA LA MORAVIANI JIMBO LA KUSINI

MUONEKANO WA NDANI YA MSITU NA MITI YA ASILI 

SEHEMU YA MABAKI YA MATOFARI YALIYOJENGEWA NYUMBA ZA WAMISIONARI MWAKA 1936

KANISA LA MORAVIANI KWA KUJALI UOTO WA ASILI NA KUUTUNZA  IKAAMUA KUMIRIKI ENEO HILI ILI WATU WASIHARIBU MAZINGIRA YA KIPEKEE YALIYOPO HAPA

WAKAZI WA KYELA WANATUMIA SEHEMU HII YA MAGADI KWA MATUMIZI YA MIFUGO

MAJI YANACHEMKA


MAJI YA MOTO HAPO UKIJA NA MAYAI AU VIAZI UKIWEKA HAPO BAADA YA MUDA MFUPI VINAKUWA VIMEIVA NA KUENDELEA KULA

HAPA NI ENEO LA KILAMBO WILAYANI KYELA KATIKA KIJIJI CHA KANDETE SEHEMU HII NI MAARUFU KWA KUWEPO NA MIAMBA INATOA MAJI  YA MOTO AMBAYO KWA WENYEJI WANAPATA MAGADI YA MIFUGO NA SEHEMU KUNA KIJITO CHA MAJI YA BARIDI NA KINGINE YA MOTO HIVYO SEHEM YA MAKUTANO YA VIJITO WAKAZI WANAPATA MAJI YA UVUGUVUGU NDIYO WANAYOYAOGA NA MATUMIZI MENGINE NA KILIMA KINACHOONEKANA NI MLIMA WA SERIKALI AMBAO MITI YOTE IMEKATWA IKIWA NI UHARIBIFU WA MAZINGIRA NA KUHATARISHA KUTOWEKA KWA UOTO WA ASILI ULIOPO ENEO HILI LA KILAMBO
MAGADI YANAYOTUMIKA KULISHA MIFUGO YANAPATIKA KATIKA ENEO HILI LA KILAMBO HILL HAPA YANAANIKWA TAYARI KWA KWENDA KUUZWA SOKONI

KUSHOTO MCHUNGAJI SWEBE KATIMY MKUU WA KANISA LA MORAVIANI JIMBO LA KUSINI NA ANAYEFUATIA NI MWENYEKITI WA WILAYA YA KUSINI MCH KASYANJU NA WAPILI KULIA NI MCH MWESYA AMBAYE NI KATIBU WA UMOJA WA VIJANA JIMBO LA KUSINI NA NDIYE ANAYE WEKEZA MIRADI YA VIJANA KWA KUJENGA CAMP NA KUMBI ZA MAFUNZO KWA VIJANA

KATIBU MKUU WA KANISA LA MORAVIANI JIMBO LA KUSINI MCHUNGAJI SWEBE AKIELEZA JINSI MLIMA KILAMBO HII ULIVYOTUNZWA TANGU ENZI ZA WAMIESSIONARI WALIPOKUWEPO TANGANYIKA NA MWAKA 1936 MMISSIONARI ALIJENGA NYUMBA YA KUISHI KILELENI HAPO NA KUWA NA MKAKATI WA KUJENGA HOSPITARI AMBAYO BAADAYE IKAJENGWA ISOKO WILAYANI ILEJE
KANISA KUPITIA IDARA YA VIJANA INAKUSUDIA KWA SASA KUJENGA CAMP YA VIJANA KWA AKILI YAMAFUNZO MBALIMBALI KATIKA KILELEL CHA MLIMA WA KILAMBOAMBAPO UWEKEZAJI WAKE GHARAMA ZITAFIKIA MILIONI MIA SITAKWA KUANZIA

MKAZI WA KILAMBO ANAYEISHI KARIBU NA KILIMA CHA KILAMBO AMBAYE AMEKAA KWA MUDA MLEFU ENEO HILO AMESEMA KUWA KANISA WANAWANUFAISHA SANA KWA KUUTUNZA MLIMA HUO KWAKUWA HADI SASA KAMA ISINGEKUWA KANISA MITI YOTE INGEKAUKA LAKIN KWA SASA WANAPATA MAJI KUTOKANA NA MLIMA HUO KWA SABABU YA UUTUNZAJI MZURI WA MSITU PIA WANAOKOTA KUNI KATIKA MSITU HUO

BIBI AKISUKA MKEKA HUKU AKIPATA HABARI KUPITIA REDIO YAKE

MHOGO UKIWA UMEANIKWA TAYARI KWA MAANDALIZI YA KUTWANGA ILI KUPATA UNGA WA UGALI

SHAMBA LA MIHOGO

ZAO LA MBAAZI LIKIWA LIMEVUNWA TAYARI KWA MATUMIZI

ZAO LA KOKOA NDIO ZAO LA KIBIASHARA WILAYANI KYELA LINALOTEGEMEWA NA WAKAZI WALIOWENGI

HILI NDILO JENGO LA MAKAO MAKUU YA JIMBO LA KUSINI KANISA LA MORAVIANI RUNGWE LILILOPO MLIMANI RUNGWE KATIKA MJI WA TUKUYUNIPO NA KATIBU MKUU WA KANISA LA MORAVIANI JIMBO LA KUSINI               MCH SWEBE

Post a Comment