Monday, September 30, 2013

UJENZ WA BARABARA KIWANGO CHA RAMI TUKUYU KATUMBA WILAYANI RUNGWE WAENDELEA KWA AWAMU

HATUA YA KUCHANGANYA CIMENT NA MCHANGA
 BIASHARA YA NDIZI WILAYANI RUNGWE BADO TETE KUTIKANA NA MUAFAKA WA MGOGORO KUTO FIKIWA WA ULIPAJI WA TOZO JIPYA LA USHURU TSH 200 KWA MKUNGU HUKU WAFANYA BIASHARA WAKITAKA WATO SH 100 KWA MKUNGU
HAPA NDIPO SEHEM YA SOKO LA TANDALE TUKUYU MJINI SIKU YA JUMATATU NA ALHAMIS NDIPO WAFANYA BIASHARA NA WAKULIA WANAPOFANYIA BIASHARA YA NDIZI SASA NI WIKI HAKUNA NDIZI INAYOUZWA HAPA


WAALIMU WA MAARAKA SHULE YA MSINGI WAKINUNUA MATUNDA AINA YA PAPAI

BIASHARA YA NDIZI IMESIMAMA KATIKA SOKO LA TUKUYU MJINI KWA SABABU YA WAFANYA BIASHARA KUGOMEA TOZO JIPYA LA USHURU WA TSH 200 KWA MKUNGU WA NDIZI BADALA YA USHURU WA ZAMANI TSH 100  KWA MKUNGU, HIVYO BADO MUAFAKA HAUJA FIKIWA ILI KUANZA TENA KWA BIASHARA HII YA NDIZI AMBAYO NI BIASHARA KUBWA SANA WILAYANI RUNGWE

 

.......................................

MBEYA CITY FC NA COASTAL UNION WATOKA SALE KWA GOLI MOJA KWA MOJA

Mashabiki wa Mbeya City Fc wakiwa wanashangilia Timu yao wakiongozwa na Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Mbeya Dr. Mary Mwanjelwa 
Timu zote mbili zikijiandaa kukaguliwa 
Mgeni rasmi akikagua Timu zote Mbili

Ma Captain wa timu zote wakiwa wanaamua waanze kwenda goli lipi

Wachezaji wakiingia uwanjani
Wachezaji wakisalimiana 
Waamuzi
Mbeya City Fc
Coastal Union 


Mashabiki wa Mbeya City Fc
Post a Comment